Namna ya kupika Pilau


Msaada, je nnaweza kupka pilau kwa kutumia rice cooker?
 
Nafanyaje?

Fika hadi hatua ya 3 kama nlivoonesha………
Then mimina katika rice cooker kuku ama nyama na soup yake,na hivo ulivokaanga,pamoja na mchele....waweza kuengeza maji kama mchele wako ni mwingi na soup ni kidogo....

Then pika kama kawaida unavopika wali wa kawaida......
 
Asante ukhty, nimetengeneza hii kitu muda si mrefu. Tamu balaa karibuni.
 

Napenda sana haya mapishi yako. Ila unatumiaga misamiati migeni sana kwangu.
Namba 4 "vitunguu thomu" ndio vitunguu gani.?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…