- Thread starter
- #21
ukiweka na njegere huwa lanoga zaidi
Yeah naweka sana kwenye hii mixed vegetables yangu zimo pia njegere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiweka na njegere huwa lanoga zaidi
Mahitaji
1)nyama/kuku
2)mchele kg 1
3)vitunguu maji 3 vikubwa
4)vitunguu thomu 1 kidogo
5)pilipili manga kidogo
6)uzile 1 tbsp
7)mdalasini kijiti 5 vikubwa au kama ni wa unga 1 tbsp
8)hiliki 15
9)zabibu kavu kiasi
Namna ya kutaarisha
1)kata kata nyama/kuku then add maji saga kitunguu thomu na tangawizi tia na chumvi kiasi na uchemshe hadi viwive
2)weka mafuta robo kikombe kwenye sufuria safi weka jikoni hadi mafuta yawe moto then tia vitunguu maji ambavyo umevikatakata vikaange hadi viwe brown
3)weka mdalasini hiliki uzile zabibu na pilipili manga then changanya kwa dakika 2
4)weka soup yako pamoja na nyama/kuku kwenye mchanganyiko wako visubirie vichemke kwa dakika 5
5)add maji kulingana na mchele wako unavohitaji ili uwive vr
6)weka mchele wako then funika hadi uwe umewiza
7)then waweza kuutia kwenye oven kwa dakika 10 ili ukauke vizuri
8)pilau tayari kwa kuliwa
Msaada, je nnaweza kupka pilau kwa kutumia rice cooker?
Yeah unaweza...
Nafanyaje?
naomba kujuzwa no 6 ni nn?
Bizari ya pilau (cumin)
Asante kwa kunijuza
Asante ukhty, nimetengeneza hii kitu muda si mrefu. Tamu balaa karibuni.
Mie nakuja niandalie n juisi ya ukwaju lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Asathe farkina.....umefny familia ile pilau tamuuuu
Mahitaji
1)nyama/kuku
2)mchele kg 1
3)vitunguu maji 3 vikubwa
4)vitunguu thomu 1 kidogo
5)pilipili manga kidogo
6)uzile 1(bizari ya pilau) tbsp