Mahitaji
1)mchele kg 1
2)vitunguu maji 5 vikubwa
3)vitunguu thomu 2 ukubwa kiasi
4)nyama/kuku
5)tangawizi kiasi
6)chumvi kiasi
7)uzile wa unga
8)mafuta robo kikombe
9)zabibu kavu kiasi
Namna ya kutaarisha
1)chemsha nyama/kuku hadi viwive
2)weka mafuta kwenye sufuria safi hadi yapate moto
3)weka vitunguu kaanga hafi viwe brown
4)weka kitunguu thomu,tangawizi ambavyo umetwanga/saga na uzile
5)mimina maji ya soup kiasi na kuku/nyama hakikisha mchanganyiko unakua mzito
6)subiria hadi mchanganyiko wako ushikane na weka pembeni
7)chemsa maji kwenye sufuria yengine hadi yachemke
8)weka mchele na chumvi kiasi hadi
9)subiria uwive hadi uwe laini
10)ugawe wali wako sehemu 2 sawa
11)then weka mchanganyiko wako wa kuku katikakati
12)Tupia tupia zabubu zako juu
13)weka kwenye oven hadi ukauke vzr.
Tayari kwa kuliwa.
Waweza tengeneza salad ukala na chakula chako kwa ladha nzuri zaidi.