- Thread starter
- #21
Aaaah Sikubali mie mgeni wako.. wakujikaribisha!! Biriani ya Zahfarani(zafron) !! aa aa sipitwii!!!!
Hahahahahaha mwambie kabisaa share yako akuekee lol.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaah Sikubali mie mgeni wako.. wakujikaribisha!! Biriani ya Zahfarani(zafron) !! aa aa sipitwii!!!!
Bora hata kasema mapema niongeze portion maana nishazoea kupika portion mbili tu!Sipendi kutupa chakula.....:smile-big:Hahahahahaha mwambie kabisaa share yako akuekee lol.....
Swts ukitaka kuweka picha kutoka kwenye computer yako hapo unapo-coment juu yake kuna alama nyingi,hebu jaribu kuzigusicha kwa mouse yako bila ku-click,unapogusisha kila alama kuna maandishi yanatokea yanakuelekeza cha kufanya mfano "insert video" au insert image"kuweka picha unafanyaje
Giligilani mpenzi kwa kiswahilimimi49 hii nnavyojua mimi inaitwa ni kotmiri je inayo jina jengine? Ukiweka kwenye salad inapendeza sana...ama unasaga pamoja na kitunguu thomu then unahifadhi kwenye friji untumia kila unapohitaji kama kuchemshia nyama au kupikia mchuzi ni nzuri sana.
Bora hata kasema mapema niongeze portion maana nishazoea kupika portion mbili tu!Sipendi kutupa chakula.....:smile-big:
Naweka kwenye fridge lakini kitakaa huko wala nakuwa sina ham nacho tena!!!Ila napika portion ndogo tu kuepuka shida zote hizo!Ndio vizuri na kikibaki waweka kwenye friji..kutupa chakula ni israaf na dhambi kubwa sana maana kuna watu wanakitafuta na hawakipati how come wewe unamwaga?
Giligilani mpenzi kwa kiswahili
Swts ukitaka kuweka picha kutoka kwenye computer yako hapo unapo-coment juu yake kuna alama nyingi,hebu jaribu kuzigusicha kwa mouse yako bila ku-click,unapogusisha kila alama kuna maandishi yanatokea yanakuelekeza cha kufanya mfano "insert video" au insert image"
Njia nyingine kama unataka kuchukua picha kutoka kwenye website nchina,we click picha huko,then fanya mouse left click u-copy hiyo picha,unapocoment JF una-paste na kurepy,utaona picha inatoka ilivyo.
Hata sie tunaita hivohivo kotmiri lakini unajua tena kiswahili nacho kina maneno mengi na yanazuka mapya kila kukicha!Ahsante....mie najua ni KOTMIRI..hahahahahah ningeandika bila ya kutafsiriwa ingekua mtihani..
Hata sie tunaita hivohivo kotmiri lakini unajua tena kiswahili nacho kina maneno mengi na yanazuka mapya kila kukicha!
Ndio utapata ni UZILE.....sijui wengine wanaitaje
Uzile ni (binzari nyembamba ya unga) Kwa kiingereza inaitwa jina hili (cumin)MziziMkavu, uzile ndo nini kwa kidhungu?
Iranian rice ndo basmat? Manake siipendiiii hata biriyani napika na mchele wa kimatumbi kwa raha zangu.
Ila mie ni bingwa wa kuchakachua recipes. Hii umenifundisha presentation mpya. Ntaiiba recipe yako ila sasa mie ntatumia mchele wa mbeya. Leooo
Hata sie tunaita hivohivo kotmiri lakini unajua tena kiswahili nacho kina maneno mengi na yanazuka mapya kila kukicha!
Sawa mpendwa!!mimi49 kotmiri na giligilani nimeyasikia tangu mdogo, kwa hiyo naamini hili neno giligilani si neno jipya labda tu wengine hawalitumii sana kama kotmiri.