- Thread starter
- #61
Yaani umeshindwa kunitafsiria wewe na farkhina? Hizi dawa zangu kwa lugha ya kiingereza? Haya dawa Zingine hizi nitafsirie kwa lugha ya kiingereza zinaitwa kwa jina hizi (Darufil-fil,Mbegu za figili,khulinjani,Udil-karaha, Ubani Makka, Ubani dhukura, Ubani mushtak, Halilinji, Balinji, Abilinji, Tangawizi, Hiliki) Nitajie kwa majina ya kiingereza hizi Dawa Mkuu BAK
Hahahahahah MziziMkavu mie najuaje lugha ya wazungu? Muulize BAK..
Last edited by a moderator: