- Thread starter
- #41
Eeh asante mamito umenifundisha kitu tena. Giligilani inanichosha kuiweka fresh. Nimejaribu kuweka kwenye maji na kwenye friji bado inaharibika, na mie nanunua vitu mara moja tu kwa mwezi. Sasa nitaitwangia kwenye thomu.
Ubarikiwe sana.
Usijali shosti...shukraan

