Eeh asante mamito umenifundisha kitu tena. Giligilani inanichosha kuiweka fresh. Nimejaribu kuweka kwenye maji na kwenye friji bado inaharibika, na mie nanunua vitu mara moja tu kwa mwezi. Sasa nitaitwangia kwenye thomu.
Ubarikiwe sana.
MziziMkavu, uzile ndo nini kwa kidhungu?
Iranian rice ndo basmat? Manake siipendiiii hata biriyani napika na mchele wa kimatumbi kwa raha zangu.
Ila mie ni bingwa wa kuchakachua recipes. Hii umenifundisha presentation mpya. Ntaiiba recipe yako ila sasa mie ntatumia mchele wa mbeya. Leooo
Mkuu hizi dawa kwa lugha ya kiingereza unazijuwa? Bakal-hadi,Sufa,Safarat Baydhwa,Zamda ya mbegu,Pakanga,Pachoor,Sandal(unga) farkhina
Haahaahaha duh umeengeza manjonjo tamuje....
Wow nzurii tu...hongera shost next time upike tuje kula lolView attachment 120475hiyo ilitokea kama njano sijuw..ila tamu hatare..
Hahhhahaha pembe kama za mbuzi lol...ila jitahidi usume hivo mwishoe utaweza kutengeza round.View attachment 120472ona chapati inapembe hatari hatari..lol ila tamu and laini
Chezeya mimi weye!!!! LOL!!!!
Mkuu hizi dawa kwa lugha ya kiingereza unazijuwa? Bakal-hadi,Sufa,Safarat Baydhwa,Zamda ya mbegu,Pakanga,Pachoor,Sandal(unga) farkhina
Mkuu hizi dawa kwa lugha ya kiingereza unazijuwa? Bakal-hadi,Sufa,Safarat Baydhwa,Zamda ya mbegu,Pakanga,Pachoor,Sandal(unga) farkhina
yani ni laini na nzuri kweli ila pembe..itabidi nianze kukata na kisu! hahahHahhhahaha pembe kama za mbuzi lol...ila jitahidi usume hivo mwishoe utaweza kutengeza round.
hilo nilipatia nikaweka cranberries...ilinoga kweli..na nyama nilitumia chickenfillets..Wow nzurii tu...hongera shost next time upike tuje kula lol
Achilia mbali kiingereza hii lugha uliyotumia hapa kiarabu kilichochanganyika na kihindi inanipiga chenga. Haya tiririka Dr MziziMkavu.
Ni kiarabu njoo nkutafsirie lol..
Yaani umeshindwa kunitafsiria wewe na farkhina? Hizi dawa zangu kwa lugha ya kiingereza? Haya dawa Zingine hizi nitafsirie kwa lugha ya kiingereza zinaitwa kwa jina hizi (Darufil-fil,Mbegu za figili,khulinjani,Udil-karaha, Ubani Makka, Ubani dhukura, Ubani mushtak, Halilinji, Balinji, Abilinji, Tangawizi, Hiliki) Nitajie kwa majina ya kiingereza hizi Dawa Mkuu BAKAchilia mbali kiingereza hii lugha uliyotumia hapa (ukiondoa zamda ya mbegu na pakanga) kiarabu kilichochanganyika na kihindi inanipiga chenga. Haya tiririka Dr MziziMkavu.