TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Jinsi ya kugandashia maziwa nunua maziwa fresh lita 2 au vile upendavyo yachemshe yapoe Kisha chukua vijiko 4 vya kulia chakula vya mtindi (culture) iwe asass, au Tanga fresh ambayo unapenda weka kwenye maziwa Yako ambayo yamepoa👌
Kisha weka kwenye chombo kisichopitisha hewa funika kwa masaa 24 weka sehemu ambayo hayatatikiswa Kisha funika kontena na nguo nzitoo..... weka sehem ya giza Kisha yaache kesho muda kama ule uliandaa kaangalia maziwa Yako utakuta yameganda pemben pitisha kijiko papatikane uwazi mwaga maji...
Kisha weka maziwa Yako kwenye fridge... Yatazidi kuganda toa weka flavour upendayo kama unapenda sukari, strawberry ila mie mbavyo mimi hua naandaa maziwa ya mtindi hua nanunua maziwa fresh lita 3....
Kisha nachemsha vizuri Kisha naacha yapoe yakipoa hua naweka kwenye contena lenye mfuniko Kisha nafunika nachukua taulo za jikoni nafunika naweka sehemu yenye giza ambayo hayatatikiswa kwa saa 24...Hii ni njia ninayotumia Kwa sababu upatikanaji wa maziwa mtindi mzuri ni mtihani! Culture utakayotumia ndio itakupa maziwa mazuri