Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Hivi hii "BIDII" huwa ni nini hasa mkuu??Zote mlizotoa sio mbinu. Mbinu zipo 3 tu.
1. Fanya kazi kwa bidii sana
2. Weka malengo na hakikisha unayatimiza
3. Kuwa na discpline ya pesa
Ndio hvyo mkuu.
Utajiri unaouona kwa wafanya biashara matajiri wa kihindi na wachina hawakuanza wao bali walianzisha babu zao hao wanaendeleza gurudumu.
Mimi binafsi siwezi kujiona tajiri kama ndugu zangu hawana uhakika wa milo 3 kwa siku.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu hawamudu kuwalipia watoto wao ada.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu hawana uhakika wa pesa ya matibabu.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu hawana nyumba nzuri za kuishi.
Sitajiona tajiri kama ndugu zangu wa kijijini wanakosa hata pesa ya kununua chumvi na mafuta ya koroboi.
Kwa hiyo inategemea mtu anawazaje kuhusu utajiri
Kwahio nihame masaki niende chanika nikishafika 25 years 🤣🤣🤣???
Hakuna shida najifaham nina nyota ya umaskini.Unanyota ya umasikini.
Hivi hii "BIDII" huwa ni nini hasa mkuu??
Maana ya bidii kinagaubaga ni nini...nahisi watu wengi hatuifahamu maana yake halisi hebu tujuze mkuu
Unataka ujengee nyumba kabira lenu lote utafikaje popa.Hakuna shida najifaham nina nyota ya umaskini.
Wewe mwenye nyota ya utajiri umetengeneza bilioni ngapi hadi sasa?
Unataka ujengee nyumba kabira lenu lote utafikaje popa.
Mkuu una pont ila ilo kuwa applicable inabidi Generation kadhaa zipite sio kwasasahivi ambapo baadhi wa wazee waliokuwa zama za mkoloni na vita ya dunia wako hao ukifanikiwa na kutaka kuwakomboa kifikra wanaona weevipi wanakurushia jini wa bukujero kesho tunakuona unaokota makopo.Hujanielewa umekurupuka,lengo sio kuwajengea lengo ni kuwapatia elimu iliyokufanya wewe ufanikiwe ili na wao watafute hayo mafanikio.
Ubinafsi wa watu weusi ndio unaofanya tusitajirike unakumbatia kila kitu peke yako ukifa ndio mwisho wa mchezo wanao wanaanza upya tena from the scratch.
Ukweli mkuuZote mlizotoa sio mbinu. Mbinu zipo 3 tu.
1. Fanya kazi kwa bidii sana
2. Weka malengo na hakikisha unayatimiza
3. Kuwa na discpline ya pesa
Mkuu una pont ila ilo kuwa applicable inabidi Generation kadhaa zipite sio kwasasahivi ambapo baadhi wa wazee waliokuwa zama za mkoloni na vita ya dunia wako hao ukifanikiwa na kutaka kuwakomboa kifikra wanaona weevipi wanakurushia jini wa bukujero kesho tunakuona unaokota makopo.
Fikra za jamii yetu nzito sana inahitaji muda kama kina sisi angalau tumebahatika kupata platform kama hizi kidogo ndio tunafungua macho.
hii ndio JF tunayoitaka, ubarikiwe kiongozi.biashara
bidii ya kazi
nidhamu ya hela
Diligence persuasionHivi hii "BIDII" huwa ni nini hasa mkuu??
Maana ya bidii kinagaubaga ni nini...nahisi watu wengi hatuifahamu maana yake halisi hebu tujuze mkuu
Kwa hiyo mkuu - tufanyeje ?Ndugu yangu kuna watu wamefanya yote hayo lakini bado ni maskini.
Kama amefanya yote 100% na bado masikini sasa hapo ni maamuzi ya Mungu ndio kaamua maana naamini sisi tunapambana kama binadamu kutengeneza sababu ya jambo ila ilo jambo ataamua liwe Mungu kutokana na juhudi zako ila pia anaweza asiamue litokee.Ndugu yangu kuna watu wamefanya yote hayo lakini bado ni maskini.