Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
Hatuwezi kuwa na miradi endelevu Kama mzazi anamuonea wivu mwanae itakua watu bakiTatizo pia sisi Waafrika hatuna maradi ambayo ni endelevu, miradi ambayo hata ww muanzilishi usipokuepo inaweza kuendelea tu.
Inategeme unalitafsiri vipi neno "umasikini" au kindengereko ☻"poverty"....
Ukibase kwenye pesa 💪 usitarajie maisha tunayoyaona kwenye tv au simu ndi useme wewe si masikini
zaidi usiache kutafuta pesa ili usaidie wa chini yako
Nb: ukiipata pesa usisahau kula bata🍸🍉 maisha mafupi sana😎... na kufanya charity (kusaidia walio chini yako ni muhimu)
Ngumu sana kutoboa kwa njia halalitafuta pesa tu kwa njia halali
Wachawi utawaepuka vipi? Utawajuaje?Epuka marafiki wabaya epuka watu wenye hila na wachawi na wenye husda wenye kuweza kutupa uchzawi wa njia tu ya kukuangalia
Mtu mwenye kipato cha 3M kwa mwezi na aliye na 400K kwa mwezi nani atakula bata nzuri bila stress (majukumu yao same).Inategeme unalitafsiri vipi neno "umasikini" au kindengereko ☻"poverty"....
Ukibase kwenye pesa 💪 usitarajie maisha tunayoyaona kwenye tv au simu ndi useme we si masikini
zaiiiidiiii usiache kutafuta pesa ili usaidie wa chini yako
nb; ukiipata pesa usisahau kula bata🍸🍉 maisha mafupi sana😎...na kufanya charity (kusaidia walio chini yako ni mhimu)
Hatuwezi kuwa na miradi endelevu Kama mzazi anamuonea wivu mwanae itakua watu baki
So if they like easy things and then end up in poverty, Doesn't mean that they like poverty?They don't like poverty they like easy things...easy idea,easy projects,easy talk ,easy easy easy....so ends with poverty
No they don't like poverty....they like things that by any means end up with povertySo if they like easy things and then ends up in poverty, Doesn't mean that they like poverty?
What would happen if they stop doing those things?No they don't like poverty....they like things that by any means end up with poverty
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
nikajua umegundua formula rahisi ya utajiri..
kumbe ni zile nadharia za akina motivational speaker
Utajiri hauwezi kuzikwa nao sasa, tunatafuta miheeeela mwisho wa siku tunazikwa kama tulivyokujaHuwezi kuufikia utajiri
Hakika mada imebakwa [emoji23]Maoni ya wachangiaji yanafurahisha sana,karibu wote wametoa maoni yao kwa kuweka mitazamo ya kuwa Tajiri.
Wazo la mtoa mada ni namna ya kuondokana na umasiki na angalau kuwa na kipata na sio utajiri.
Maana mtu kuwa tajiri sio kitu rahisi maana 90% ya matajiri wengi duniani ni urithi-tuchangie kulingana na mawazo ya mtoa mada!.
Hapo ndio unapoona cha muhimu uhai tu.Utajiri hauwezi kuzikwa nao sasa, tunatafuta miheeeela mwisho wa siku tunazikwa kama tulivyokuja
Wengine tunaombea Uhai/uzima wengine kipaumbele chao ni pesaHapo ndio unapoona cha muhimu uhai tu.