Namna ya kuuaga umasikini

Namna ya kuuaga umasikini

Inategeme unalitafsiri vipi neno "umasikini" au kindengereko ☻"poverty"....
Ukibase kwenye pesa 💪 usitarajie maisha tunayoyaona kwenye tv au simu ndi useme wewe si masikini
zaidi usiache kutafuta pesa ili usaidie wa chini yako

Nb: ukiipata pesa usisahau kula bata🍸🍉 maisha mafupi sana😎... na kufanya charity (kusaidia walio chini yako ni muhimu)
 
Charity muhimu sana.
 
They don't like poverty they like easy things ... easy idea, easy projects, easy talk , easy easy easy ... so ends with poverty
 
Inategeme unalitafsiri vipi neno "umasikini" au kindengereko ☻"poverty"....
Ukibase kwenye pesa 💪 usitarajie maisha tunayoyaona kwenye tv au simu ndi useme we si masikini
zaiiiidiiii usiache kutafuta pesa ili usaidie wa chini yako
nb; ukiipata pesa usisahau kula bata🍸🍉 maisha mafupi sana😎...na kufanya charity (kusaidia walio chini yako ni mhimu)
Mtu mwenye kipato cha 3M kwa mwezi na aliye na 400K kwa mwezi nani atakula bata nzuri bila stress (majukumu yao same).
 
nikajua umegundua formula rahisi ya utajiri..

kumbe ni zile nadharia za akina motivational speaker
 
Ukiwa maskini hata mbwa/kuku wako wanakua hawakuogopi na watafanya mapenzi mbele yako maana wanajua huna cha kuwafanya.

Ukiwa maskini hata ukimfukuza nzi anakua anapaa then anarudi hapo hapo ulipomfukuzia maana anajua mko mnacheza.
 
Waafrika weng tunakuwa masikini kutokana na kuzaa bila malengo kisa umri umefika,unakuta Kuna fala kapata pesa ya kula na kupanga anaona aoe
 
huwezi kufanikiwa bila kuwa na biashara ambayo unapaswa kuwa na malengo ya juu zaidi, na huwezi kuendesha biashara yenye mafanikio bila kukopa Bank.
1.fanya utafiti wa biashara au mradi unaotaka kuuanzisha.
2. kopa Bank kama una dhamana ya kukopea.

huwezi kupinga hatua ya kiuchumi bila kukopa lazima ukope bank ndipo utasonga mbele na pia utakuwa na nidhamu ya pesa
 
Maoni ya wachangiaji yanafurahisha sana,karibu wote wametoa maoni yao kwa kuweka mitazamo ya kuwa Tajiri.

Wazo la mtoa mada ni namna ya kuondokana na umasiki na angalau kuwa na kipata na sio utajiri.

Maana mtu kuwa tajiri sio kitu rahisi maana 90% ya matajiri wengi duniani ni urithi-tuchangie kulingana na mawazo ya mtoa mada!.
Hakika mada imebakwa [emoji23]
 
Back
Top Bottom