Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Wakusanye vijana wote wanaotafuta ajira, wape birika la kahawa watembeze maeneo ya vituo vya mabasi au maeneo yenye msongamano wa watu.
Kusanya vijana wote wanaoenda kwenye mabanda kuangalia mpira, kila mmoja mpatie mzigo wa nguo za mitumba atembeze.
Kamata vijana wote wanao ombaomba hela huko mtaani, wapatie karanga watembeze kila kona ya mtaa.
Kusanya wajane/ singo mama wote waliokata tamaa na maisha, kila mmoja mpatie meza maeneo ya sokoni auze mchicha, nyanya n.k
Kusanya mashabiki wote waliotukuka kwenye timu mbalimbali, kila mmoja mpatie jiko achome mahindi.
Kusanya wale wote wabishi wabishi waliomo kwenye mitandao ya kijamii ikiwa na jf, wape kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha.
Baada ya hapo, pata mapato kula maisha.