ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Wewe kwa muonekano lazima ni mfupii😁 (Jokes)
nikuulize weweWe hutaki kuwa tajiri?
Mimi nipo kwenye stage ya kutumia zaidi kuliko kutafuta.Hutaki kuwa tajiri?
Nimetumia hizo mbinu nikaona zina mafanikionikuulize wewe
Utakuwa upo 65+Mimi nipo kwenye stage ya kutumia zaidi kuliko kutafuta.
Huyo ni mfupi kama vile vifriji vyakuwekea dawa Hospitali.Wewe kwa muonekano lazima ni mfupii😁 (Jokes)
Tuukatae umasikini kwa nguvu zoteAisee
Hutaki kuwa tajiriWewe kwa muonekano lazima ni mfupii😁 (Jokes)
Naona ghafla umeamua kua mtabiri.Utakuwa upo 65+
Kuna ule uzi unazungumzia huo umriNaona ghafla umeamua kua mtabiri.
Anza wewe kwanzaHutaki kuwa tajiri
Aiseee kama nimfupi kheri sehemu nyingine zinusulike zitambebaHuyo ni mfupi kama vile vifriji vyakuwekea dawa Hospitali.
Nilishaanza tayari, ndio natafuta wale wabishi waliomo humuAnza wewe kwanza
Naomba kazi mimi joblessNilishaanza tayari, ndio natafuta wale wabishi waliomo humu
Mtu mfupi,vitu vyake vyote pia hua vifupi.Aiseee kama nimfupi kheri sehemu nyingine zinusulike zitambeba
Sikupanga kucheka hivi lolMtu mfupi,vitu vyake vyote pia hua vifupi.
Uzi gani? hakuna mtu hapa JF anaweka umri wake,Kuna ule uzi unazungumzia huo umri
Safi sana, tuukatae umasikini kwa nguvu zoteNaomba kazi mimi jobless
Nipe meza moja 😁
Nyie wabishi ndio nianaowataka kwa kazi ya kutembeza mayai.Uzi gani? hakuna mtu hapa JF anaweka umri wake,
So far umesha uza vifuko vingapi vya miwa?