Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Utajiri ni mauzo, na mauzo yanaleta pesaUtajiri ni Siri
na hakuna shortcut ya kuwa tajiri
Hii idea kama kwel inafanya kazi angewapa ndg zake wote ili wawe matajiriBila shaka muda huu utakua umeshiba zako ugali na bamia,ukaamua kuja kupumzikia humu JF.
Kusanya wale wote wabishi wabishi waliomo kwenye mitandao ya kijamii ikiwa na jf, wape kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha.Bila shaka muda huu utakua umeshiba zako ugali na bamia,ukaamua kuja kupumzikia humu JF.
Tuupige vita umasikini kwa nguvu zoteWe jamaa
Natafuta wale wote wabishi wabishi waliomo humuHii idea kama kwel inafanya kazi angewapa ndg zake wote ili wawe matajiri
Upo hapo umeshikilia remote kwa shemeji unageuka geuka tu kwenye makochi!Wakusanye vijana wote wanaotafuta ajira, wape birika la kahawa watembeze maeneo ya vituo vya mabasi au maeneo yenye msongamano wa watu.
Kusanya vijana wote wanaoenda kwenye mabanda kuangalia mpira, kila mmoja mpatie mzigo wa nguo za mitumba atembeze.
Kamata vijana wote wanao ombaomba hela huko mtaani, wapatie karanga watembeze kila kona ya mtaa.
Kusanya wajane/ singo mama wote waliokata tamaa na maisha, kila mmoja mpatie meza maeneo ya sokoni auze mchicha, nyanya n.k
Kusanya mashabiki wote waliotukuka kwenye timu mbalimbali, kila mmoja mpatie jiko achome mahindi.
Kusanya wale wote wabishi wabishi waliomo kwenye mitandao ya kijamii ikiwa na jf, wape kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha.
Baada ya hapo, pata mapato kula maisha.
Unaweza kukuta leo shemeji yako kakupiga mkwala mzito hasa kwa kushinda kwenye sofa lake tu kila siku,Kusanya wale wote wabishi wabishi waliomo kwenye mitandao ya kijamii ikiwa na jf, wape kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha.
wape ndg zake mkuu muwe mabilionea🤣Natafuta wale wote wabishi wabishi waliomo humu
🤣🤣🤣 vile vile unakuta kaachiwa kazi ya kutosha vyombo na sufuriaUnaweza kukuta leo shemeji yako kakupiga mkwala mzito hasa kwa kushinda kwenye sofa lake tu kila siku,
Ndio maana ukawaza hiyo idea.
Kusanya wale wote wabishi wabishi waliomo kwenye mitandao ya kijamii ikiwa na jf, wape kazi ya kutembeza mayai ya kuchemsha.Upo hapo umeshikilia remote kwa shemeji unageuka geuka tu kwenye makochi!
Hawa vijana wakisha shiba ugali wa shikamoo hua wasumbufu sana mitandaoni.🤣🤣🤣 vile vile unakuta kaachiwa kazi ya kutosha vyombo na sufuria
Stress za ujoblessHawa vijana wakisha shiba ugali wa shikamoo hua wasumbufu sana mitandaoni.
Utakuta muda huu ndio kapata nafasi ya kupumzika chini ya mti baada ya kutembeza miwa ya vifuko toka alfajiri.Stress za ujobless
🤣🤣 ama kweli life is not fairUtakuta muda huu ndio kapata nafasi ya kupumzika chini ya mti baada ya kutembeza miwa ya vifuko toka alfajiri.
We hutaki kuwa tajiri?wape ndg zake mkuu muwe mabilionea🤣
Hutaki kuwa tajiri?Unaweza kukuta leo shemeji yako kakupiga mkwala mzito hasa kwa kushinda kwenye sofa lake tu kila siku,
Ndio maana ukawaza hiyo idea.