Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali
 

Naona unawatafutia watu vita na maliasili bila kujua
 
Mpaka hapa itoshe kusema hii biashara hujawahi fanya na huijui. Jambo dogo kama hili hufahamu wakati wewe ni dealer, hakuna mfanyabiashara haramu asiyejua sheria na kanuni. Wote wauza drugs, pembe za ndovu, nyamapori wanajua consequences
Usiniquote vibaya mkuu mi nimeleta fursa jukwaani anayehitaji afatilie vibali cjasema mimi ndio mnunuzi wa hizo ngozi! Ila yupo mnunuzi ni mtailand!
 
kuna shamba moja hivi linamiliki vifutu wakutosha sana kwa mwezi unaweza kutana na vifuta 12, kama kifutu mmoja laki tatu themanini mbon kama pesa yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…