Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Sasa why uwachokoze kwa kupita karibu yao, kila mtu aendelee na maisha yake uone kama kutakua na matatizo
Hao wanyama hawana huruma kwa binadamu sasa kwa nini mimi nimuonee huruma ? nyoka amelaaniwa na Mungu siku zote atakuwa adui yetu unaweza usimfanye chochote na akakugonga tu
 
Wale ni kama migambo tu wala sio wa kuwaogopa

Usipokuwa na ujasiri huwezi timiza dhamira zako
usilolijua ni sawa na usiku wa giza mzee,hakuna askari katili tanzania kama games na magereza.

Hao jamaa wana roho mbaya mno nadhani ni zaidi ya simba ukiingia anga zao mzee waone hvyo hvyo walivhopoa na uniform zao kama majani
 
Mambo ya kutoa habari nusu ni bora usingeleta tangazo kabisa sasa soko liko wapi ? Nikiwakamata nawauzia wapi ?

Nishachoka kupoteza hela ya stationary ,posta na kwa afisa mtendaji KU apply kazi ambazo mtu huzipati

Wakati mapori yapo na yana fursa kama hzo
Vigezo na masharti kuzingatiwa una ngozi ya nyoka gani hapo na zipo ngapi?
 
Mpaka hapa itoshe kusema hii biashara hujawahi fanya na huijui. Jambo dogo kama hili hufahamu wakati wewe ni dealer, hakuna mfanyabiashara haramu asiyejua sheria na kanuni. Wote wauza drugs, pembe za ndovu, nyamapori wanajua consequences
Bishara yenyewe ina changamoto kukata kibali,kwenda kukaa msituni.bahati mbaya umeumwa na nyoka
 
Hao wanyama hawana huruma kwa binadamu sasa kwa nini mimi nimuonee huruma ? nyoka amelaaniwa na Mungu siku zote atakuwa adui yetu unaweza usimfanye chochote na akakugonga tu
Hapana Mkuu .Hakugongi tu - lazima uwe umeingia kwenye 18 zake. Bro, Nyoka anaedaiwa kulaaniwa na Mungu sio huyu Reptile. Nyoka yule wa kwenye Biblia ni Shetani.
 
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155''
shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali View attachment 2072627

Yani nilivyo ona hii fursa nikasema hiiiiiiiiiiii na machozi yakanitoka nikifikiria swala la PGO kwenye case ya ujangili na uhujumu uchumi
 
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155''
shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali View attachment 2072627
Unataka nyoka waishe eti kisa pesa tu. Acha tamaa na hujuma kwa viumbe vya mungu.
Madini, mashamba yamejas tele ila mnataka mteremko wa kuua viumbe.
 
Mwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Karungu yeye shinyanga walikuwa wengi sana mpaka miaka ya 2000 sijajua sasa hivi maana umekuwa mji kubwa sana. Mnyama simpendi yule hata nipewe milioni siwexi mbeba.
 
Nachoipendea serikali hua haisemi kua hiki ni sahihi hiki sio sahihi hadi wakudake ndo kuanzia siku iyo unajua kua kumbe hili ni kosa,..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nachoipendea serikali hua haisemi kua hiki ni sahihi hiki sio sahihi hadi wakudake ndo kuanzia siku iyo unajua kua kumbe hili ni kosa,..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Halafu hapo hapo wanakwambia kutokujua sheria siyo utetezi!
 
Back
Top Bottom