Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Unataka uwauzie karungu yeye wewe mwenyewe halafu upotee kama wale pesa za zamani rupia.Nimeshawasiliana na mtailand kwanzia mwezi wa 8 atakuepo nchini hivo anzeni kutafta location za nguyeye bei ni 200,000/= kwa nguyeye mmoja!