Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Na sisi tutawamimba na kuwakimbia..Na tutawakomesha tena tushaonana na koboko kuyapanga mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi tutawamimba na kuwakimbia..Na tutawakomesha tena tushaonana na koboko kuyapanga mengine
Ninapo ishi wapo wengi....labda wapate hisia muda ninavyo type waondokeMwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
wanauzwa wapi mkuu niwapeleke mkuuhadi kanunguyeye ni government trophy, adhabu yake ni 20 years au ulipe three times the value. Nungu yeye thamani yake ni 100USD.
Hizo ni nyara za serikali ukicheza vibaya 2025 utakuwa bado nyuma ya vyumaZinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali
View attachment 2072627
Kwahio nyoka unamuua kabisa na kumchuna ama atamchuna yeye?
Mwisho kabisa amesema...msiache kufuatilia kibaliNaona unawatafutia watu vita na maliasili bila kujua
Napenda nimuue, nimletee yeye achune,hawa viumbe hawatabiriki wakiwa hai anaweza kukufanya loloteMkuu we unapendaje ?
Hujui usemalo, hakuna kifutu atafikia 55"=137.5cm unene hii ni sawa na futi 4.5 uneneFatilia urefu wa hao vifutu kwanza ujue kama wanarange kwenye futi 4 kuendelea na unene wao unacheza 55" to 66"
😅😅😅Unajua hatoboi kwa huyo kiumbeAtakae pata ngozi ya koboko, binafsi ntamuongezea laki moja, kama kuunga mkono juhudi za kijana mwenzangu
Kwa mtu aliyedhamiria anatoboa[emoji28][emoji28][emoji28]Unajua hatoboi kwa huyo kiumbe
Sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindanoKwa mtu aliyedhamiria anatoboa
Mkuu, kuna watu usiwawekee hili dau, UTALIWA laki yako asubuhi tu!Atakae pata ngozi ya koboko, binafsi ntamuongezea laki moja, kama kuunga mkono juhudi za kijana mwenzangu
Nakuelewa sana unachomaanisha, ni kweli ni jambo gumu.Sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
KweliMkuu, kuna watu usiwawekee hili dau, UTALIWA laki yako asubuhi tu!
Yeye anataka ngozi tu mkuuNapenda nimuue, nimletee yeye achune,hawa viumbe hawatabiriki wakiwa hai anaweza kukufanya lolote
Na ndipo mtego wenyewe ulipo,ngozi ya nyoka ni nyara ukidakwa unakula miaka kadhaa,ukidakwa na nyoka wazima pia ni hivyo hivyo,bora maiti za nyoka unaweza kusingizia umewaua shambani,hata hizo nazo afuate yeye sio kusafirisha.Yeye anataka ngozi tu mkuu
Yaan pesa ngumu sana ukute ni jangiri huyo anaezinunua anazipitishia wapi?Na ndipo mtego wenyewe ulipo,ngozi ya nyoka ni nyara ukidakwa unakula miaka kadhaa,ukidakwa na nyoka wazima pia ni hivyo hivyo,bora maiti za nyoka unaweza kusingizia umewaua shambani,hata hizo nazo afuate yeye sio kusafirisha.
[emoji3][emoji3],ndio hapo sasa,bora umeshtuka,maana usipong'atwa na nyoka basi jiandae kuozea jelaYaan pesa ngumu sana ukute ni jangiri huyo anaezinunua anazipitishia wapi?
Ndugu bora kuuza mikate sio kwenda porin kutafuta koboko
Umeonaa eee[emoji3][emoji3],ndio hapo sasa,bora umeshtuka,maana usipong'atwa na nyoka basi jiandae kuozea jela