Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Ndio utajiri wenyewe unao usemea mtoa uzi😭😭😭? Mbona bora nikauze figo moja ili kuokoa baadhi ya mambo kuliko pata potea hiyo hapana kwakweli bora kafara 😋😋😋
 
Mwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Bado Dili Linaweza Patikana Na Kalunguyeye Wengi Apa
 
Back
Top Bottom