Ndenji five
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 1,985
- 3,109
Ndio utajiri wenyewe unao usemea mtoa uziðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜? Mbona bora nikauze figo moja ili kuokoa baadhi ya mambo kuliko pata potea hiyo hapana kwakweli bora kafara 😋😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu kicheche?hadi kanunguyeye ni government trophy, adhabu yake ni 20 years au ulipe three times the value. Nungu yeye thamani yake ni 100USD.
Mwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Bado Dili Linaweza Patikana Na Kalunguyeye Wengi ApaMwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Mkuu c Bora maliasili Sasa koboko atakuacha ukiwa mzima?Naona unawatafutia watu vita na maliasili bila kujua