Pre GE2025 Namna ya kuwachangia Wafungwa wa Kisiasa, George Sanga na wenzake yatajwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama wanasiasa wenyewe ndo wakina Sativa Mimi nasema tunaongozwa na MATAira
hapa Kuna Uzi unasema Mwanasiasa Tena MKIMBIZI amewachangia wakina George sanga MILIONI Moja baada ya kutoka jela


Swali huyo sativa ni Mwanasiasa wa nchi Gani?chama Gani? Je Mwanasiasa anashindwa kwenye kamali huyo ni Mwanasiasa kweli?kumchangia Lissu aliyepigwa nae lisasi.kisa kamdomo ndo wanakuwa wanasiasa? Ntakuwa wa MWISHO kumwita sativa Mwanasiasa kisa alipigwa risasi ya komwe kisa kamdomo
 
-MATAILA
-LISASI
-KUMWITA
-JERA
 
Mkuu,kwavile hufi leo sifi leo ni bora zaidi ungejikita kwanza kujifundisha uandishi sahihi wa lugha yako ili uiandike kwa ufasaha zaidi,
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi.
 
Mkuu,kwavile hufi leo sifi leo ungejikita kwanza kujifundisha uandishi sahihi wa lugha yako ili uiandike kwa ufasaha zaidi,
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi.
Kwakuwa ujaelewa nenda kakojoe/ kakojolewe ulale, samahani hapa jf hatujuani jinsia ndio maana nimeguss both side
 
Kwakuwa ujaelewa nenda kakojoe/ kakojolewe ulale, samahani hapa jf hatujuani jinsia ndio maana nimeguss both side
hujaelewa ✅

Huko unakoelekea kwenye matusi ni bora ubadili njia,
Nikianza kukujibu kwa kashfa pia,nina uhakika huu uzi wako utaukimbia huku umeshika chupi yako mkononi.
 
Mbowe anachoma wanachama wake, then nyie chawa mnapitisha bakuli mtaani. NYUMBU NYIE!!
 

Unajuaje mambo ya mfuko wa mtu? Focus kwenye mfuko wako na kile akili yako inachokutuma
 
Changia na wewe hata 5k ulizopewa na Mange.
Ujione usivokuwa na akili kuandika "Ilicit material.
 
Mbowe na wenje mamilion waliyohongwa na abdul wameshindwa kutoa hata buku?
 
Niache kuchangia wagonjwa,wazee na Watoto yatima nije kuchangia wahuni Hawa.

Wanaharakati changianeni wenyewe
 
Mkosoe ila usimkejeli kwa masaibu yaliyomkuta
 
Uzi hausemi waliochanga ni wanasiasa. Ila waliochangiwa ndiyo wafungwa wa kisiasa walioshinda kesi ya kubambikiwa/kusingiziwa. Neno kamdomo ulilotumia linaonesha ulifurahia waliofungwa au kuumizwa hata kuuwawa walistahili kwa kuwa na kamdomo. Hizi siasa, siasa za kiafrica kufurahia damu za watu wakati hata vyoo vya shule, madaraja na elimu tu hamuwezi kumudu ni ujima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…