Pre GE2025 Namna ya kuwachangia Wafungwa wa Kisiasa, George Sanga na wenzake yatajwa

Pre GE2025 Namna ya kuwachangia Wafungwa wa Kisiasa, George Sanga na wenzake yatajwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama wanasiasa wenyewe ndo wakina Sativa Mimi nasema tunaongozwa na MATAira
hapa Kuna Uzi unasema Mwanasiasa Tena MKIMBIZI amewachangia wakina George sanga MILIONI Moja baada ya kutoka jela

Swali huyo sativa ni Mwanasiasa wa nchi Gani?chama Gani? Je Mwanasiasa anashindwa kwenye kamali huyo ni Mwanasiasa kweli?kumchangia Lissu aliyepigwa nae lisasi.kisa kamdomo ndo wanakuwa wanasiasa? Ntakuwa wa MWISHO kumwita sativa Mwanasiasa kisa alipigwa risasi ya komwe kisa kamdomo
 
Kama wanasiasa wenyewe ndo wakina Sativa Mimi nasema tunaongozwa na MATAILA.
hapa Kuna Uzi unasema Mwanasiasa Tena MKIMBIZI amewachangia wakina George sanga MILIONI Moja baada ya kutoka jera

Swali huyo sativa ni Mwanasiasa wa nchi Gani?chama Gani? Je mwaanasiasa anashindwa kwenye kamali huyo ni Mwanasiasa kweli?kumchangia Lissu aliyepigwa nae lisasi.kisa midomo Yao ndo wanakuwa wanasiasa? Ntakuwa wa MWISHO kumwita sativa Mwanasiasa kisa alipigwa risasi ya komwe.
-MATAILA
-LISASI
-KUMWITA
-JERA
 
Kama wanasiasa wenyewe ndo wakina Sativa Mimi nasema tunaongozwa na MATAILA.
hapa Kuna Uzi unasema Mwanasiasa Tena MKIMBIZI amewachangia wakina George sanga MILIONI Moja baada ya kutoka jera

Swali huyo sativa ni Mwanasiasa wa nchi Gani?chama Gani? Je Mwanasiasa anashindwa kwenye kamali huyo ni Mwanasiasa kweli?kumchangia Lissu aliyepigwa nae lisasi.kisa midomo Yao ndo wanakuwa wanasiasa? Ntakuwa wa MWISHO kumwita sativa Mwanasiasa kisa alipigwa risasi ya komwe.
Mkuu,kwavile hufi leo sifi leo ni bora zaidi ungejikita kwanza kujifundisha uandishi sahihi wa lugha yako ili uiandike kwa ufasaha zaidi,
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi.
 
Mkuu,kwavile hufi leo sifi leo ungejikita kwanza kujifundisha uandishi sahihi wa lugha yako ili uiandike kwa ufasaha zaidi,
Ujumbe sahihi hufikishwa kwa lugha sahihi.
Kwakuwa ujaelewa nenda kakojoe/ kakojolewe ulale, samahani hapa jf hatujuani jinsia ndio maana nimeguss both side
 
Kwakuwa ujaelewa nenda kakojoe/ kakojolewe ulale, samahani hapa jf hatujuani jinsia ndio maana nimeguss both side
hujaelewa ✅

Huko unakoelekea kwenye matusi ni bora ubadili njia,
Nikianza kukujibu kwa kashfa pia,nina uhakika huu uzi wako utaukimbia huku umeshika chupi yako mkononi.
 
Mbowe anachoma wanachama wake, then nyie chawa mnapitisha bakuli mtaani. NYUMBU NYIE!!
 
Hela anazotoa sativa,zinatoka kwa Maria sarungi...

Ametoka kuwashwa! Mil.3 usiku wa jana kwa Chelsea!

Huo upepo na nguvu ya kuchanga M inatoka wapi?

Unayajua maumivu ya kuliwa kwenye betting!? Hasa kwa timu uliyoiamini?!

Hata Dhakari haisimami! Kmmmk

Unajuaje mambo ya mfuko wa mtu? Focus kwenye mfuko wako na kile akili yako inachokutuma
 
Changia na wewe hata 5k ulizopewa na Mange.
Ujione usivokuwa na akili kuandika "Ilicit material.
 
Mbowe na wenje mamilion waliyohongwa na abdul wameshindwa kutoa hata buku?
 
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Baada ya kushinda Kesi ya Uongo ya Mauaji waliyobambikiwa na Serikali ya CCM ili kuwakomoa, Wafungwa hao wa Kisiasa waliorundikwa Jela kwa miaka mitano wanahitaji misaada ya kibinadamu ili waweze kuendana na hali halisi ya maisha kama binadamu wengine waliokuwa Uraiani.

Namba ya kupokea michango imewekwa na ina jina la Mhanga George Sanga mwenyewe

View attachment 3189564

Miongoni mwa Wachangiaji wa Mwanzo kabisa kujitokeza yumo Sativa, Mkimbizi wa Kisiasa aliyepangwa kuuawa na wanajifanya wenye Nchi kabla ya Mungu kuingilia kati na kukataa mauaji yake ya kishamba, Wauaji wake wote wametajwa hadharani ila kwa vile walitumwa hawataguswa, lakini Mungu hatowaacha.

Mkimbizi Sativa amechangia kitita cha hela ya madafu mil 1

View attachment 3189567

Mungu Ibariki Chadema.
Niache kuchangia wagonjwa,wazee na Watoto yatima nije kuchangia wahuni Hawa.

Wanaharakati changianeni wenyewe
 
Kama wanasiasa wenyewe ndo wakina Sativa Mimi nasema tunaongozwa na MATAira
hapa Kuna Uzi unasema Mwanasiasa Tena MKIMBIZI amewachangia wakina George sanga MILIONI Moja baada ya kutoka jela

Swali huyo sativa ni Mwanasiasa wa nchi Gani?chama Gani? Je Mwanasiasa anashindwa kwenye kamali huyo ni Mwanasiasa kweli?kumchangia Lissu aliyepigwa nae lisasi.kisa kamdomo ndo wanakuwa wanasiasa? Ntakuwa wa MWISHO kumwita sativa Mwanasiasa kisa alipigwa risasi ya komwe kisa kamdomo
Mkosoe ila usimkejeli kwa masaibu yaliyomkuta
 
Uzi hausemi waliochanga ni wanasiasa. Ila waliochangiwa ndiyo wafungwa wa kisiasa walioshinda kesi ya kubambikiwa/kusingiziwa. Neno kamdomo ulilotumia linaonesha ulifurahia waliofungwa au kuumizwa hata kuuwawa walistahili kwa kuwa na kamdomo. Hizi siasa, siasa za kiafrica kufurahia damu za watu wakati hata vyoo vya shule, madaraja na elimu tu hamuwezi kumudu ni ujima.
 
Unajuaje mambo ya mfuko wa mtu? Focus kwenye mfuko wako na kile akili yako inachokutuma
Arguing with the Idiot rogojin, proves you're on nightmare in the land of fools!
 
Attachments

  • Screenshot_20250101_094000_Chrome.jpg
    Screenshot_20250101_094000_Chrome.jpg
    358.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom