moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Uchawi ni sayansi moja ya kimaskini saana, ingekuwa na uwezo wa kuniruhusu kuingia bank strong room na kuchukua madola hapo sawa.. au kusafiri hadi US, Ulaya kwa ndege bila visa na wafanyakazi wa ndege wakanihudumia bila shida aisee ningejiunga nao.
Kifupi uchawi hauna faida tangible..
Uchawi ni umasikini.Uchawi na umasikini ni sawa na pete na kidole
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kuuendekeza ni kujiongezea umasikini.