Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Hii chumvi nime ikubali 100%,tuli zozana na Mkewangu akajua nita mpiga aka ondoka,akatuma sms nyiingi kua sirudi tena nime choshwa nakuni tishia kunipiga (ila hii tabia nilisha iacha kbs ya kupigana sa'bu kuna siku kipigo kilinifanya nijute kwann nime mpiga so nika apa sita rudia)basi majuzi tulipishana lugha nikamwambia leo nakuchapa,wee akatoka mbio, sasa nikajua hz sms huyu yupo serious...basi nika ona mmh sjajiandaa kumpiga chini nita kwama tuu, Basi nika choma chumvi ktk moto huku nanuia arudi [emoji2][emoji2][emoji2] baasi asubuhi sms za mikwara zika endelea mm sikua najibu,nika mwambia nakutakia kila la kheri [emoji120],Basi jioni karudi tena na story nzuuri mpaka nika shangaa [emoji848] basi nika amini hii CHUMVI ni NOMAAA sana aisee
Ikoje hiyo chumvi ndugu
 
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza

Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu

Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni

Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone wachawi live wakiwa kwenye kazi zao.

Kama na wewe ni mtu anayetamani sana kuwaona viumbe hawa basi fuata taratibu zifuatazo.

Sharti
1. Usiwe muoga
2. Utakapowaona usikimbie wala kuonesha mshtuko bali tulia mpaka watakapotoweka

Tahadhari
Ni vyema uwe na kinga dhidi ya nguvu zao hasi, ili pindi utakapovunja sharti lolote hapo juu usiweze kupata madhara yoyote

MAANDALIZI
~Ponda kisamvu mpaka kiive vizuri

~Kamua ili upate maji yake

~Chukua maji hayo nawa usoni huku unanuia

Ukimaliza hapo nenda sehemu ya soko ama panapokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu ama kasimame njia panda, pia hata ukiwa ndani umelala kama watakuja utawaona

Zingatia masharti.

Leteni mrejesho mtakao waona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
Ku restore settings unafanyaje maana mie staki kuwa chizi mzee 😂😂😂 unaondoaje hio hali ukishaianzisha!?
 
Yani wakiamua kukuanzishia noma lazima uage dunia au uame mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]noma lao ni wakishindwa level ya mkoa wa enda level ya kanda mpaka ya taifa.. Wakishindwa wanaenda kimataifa kabisa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Tatizo wale wajinga hawachokagi kupambana watarudi nyuma kidogo ila wanajipanga kuja kukuvamia kabisa
 
Hii ilishamtokea shemeji yangu alikuwa anatisha kwa uganga eneo flan.akawatibu watu waliologwa.wale wachawi wakachukia wakaanza kumkalia kuanzia kikao cha kata mpaka cha kitaifa ndio wakumuweza.sikuamini kwa jinsi nilivyokuwa naujua ujuzi wake.wakawa wamempofusha kichawi.alikaa miezi 2 bila kuona.mizimu yake ikaanza kumponyesha kupitia wateja anavyowapa tiba ndio huo mchanga wa kichawi machoni ukawa unadondoka.hatimae akaona.wale wachawi wa kijiji hicho waliomkalia kamati walivyopata taharifa wakakimbia akabaki 1.alianza kufa mmoja mmoja mpaka Leo nauogopa uchawi.uchawi ni kitu kimoja hatari sana.haijalishi upo umbali gani anakufanyizia tuu.wengine hata uwe na kinga wanakupiga tuu,huwa ni hesabu tuu.hvyo usitake kuwafukunyua hawa watu,hawanaga dogo.watayaharibu maisha yako yote yawe ya laana
Ni noma aisee vita yao labda uwe unalala na kuamka kanisani! 😂😂😂 kuna kipindi nililianzisha kwa kwenda Tanga bro wangu alidhuriwa kishirikina nikaenda kwa jamaa anaitwa “mtu mzito” kumuagua kipindi niliporudi vibweka vyake havikuwa vya masihara mara usikie watu wanacheka nyumba ya jirani😅😅😅 wakati watu wamelala na kuzima taa!

Unaskia wanawake wanapiga stori kama wapo kijiweni na kucheka sana ila wanachokisema hukisikii! Kuna siku nimeamka usiku naskia watu kama wanaongea juu usawa wa dirisha nikaanza kemea nikaskia ni kama msela na manz ndio wanawasiliana kama kwenye simu wanapangana waelekee wapi!

Nakumbuka hiki kipindi nilipata hali ya kukonda sana mwili mpaka demu wangu akaanza kunichukia na kuhisi nina ngoma! 😅

Nikakaa sana yale mauza uza yakapungua ila nikawa nikilala naamka nimekwaruzwa mwilini deile yani zile alama zikiisha nakuta nimekwaruzwa tena! Nikapitia misuko suko sana ya maisha shule ikawa sioni vizuri ubaoni kichwa kikawa kizito sana kukamata vitu darasani mara nikapigwa suspension nikiwa chuo!

Dah ni noma haya mambo! Naogopa sana ushirikina! Last time nilitumia dawa za kisuni kulikuwa na hali flani ya mwili kusisimuka na nikawa naskia sauti kama za upepo nikiwa ndani kwangu kufuatilia nikaambiwa huyo ni jini mahaba 😅😅😅 atakuwa anakufatilia kwa mujibu wake nikatumia dawa za kisuni nikasepa maana pia maelewano baina yangu na bibie yalikuwa magumu sana ugomvi kila saa bila sababu! Ilinisaidia mpaka leo tuko freshi
 
Ni noma aisee vita yao labda uwe unalala na kuamka kanisani! [emoji23][emoji23][emoji23] kuna kipindi nililianzisha kwa kwenda Tanga bro wangu alidhuriwa kishirikina nikaenda kwa jamaa anaitwa “mtu mzito” kumuagua kipindi niliporudi vibweka vyake havikuwa vya masihara mara usikie watu wanacheka nyumba ya jirani[emoji28][emoji28][emoji28] wakati watu wamelala na kuzima taa!

Unaskia wanawake wanapiga stori kama wapo kijiweni na kucheka sana ila wanachokisema hukisikii! Kuna siku nimeamka usiku naskia watu kama wanaongea juu usawa wa dirisha nikaanza kemea nikaskia ni kama msela na manz ndio wanawasiliana kama kwenye simu wanapangana waelekee wapi!

Nakumbuka hiki kipindi nilipata hali ya kukonda sana mwili mpaka demu wangu akaanza kunichukia na kuhisi nina ngoma! [emoji28]

Nikakaa sana yale mauza uza yakapungua ila nikawa nikilala naamka nimekwaruzwa mwilini deile yani zile alama zikiisha nakuta nimekwaruzwa tena! Nikapitia misuko suko sana ya maisha shule ikawa sioni vizuri ubaoni kichwa kikawa kizito sana kukamata vitu darasani mara nikapigwa suspension nikiwa chuo!

Dah ni noma haya mambo! Naogopa sana ushirikina! Last time nilitumia dawa za kisuni kulikuwa na hali flani ya mwili kusisimuka na nikawa naskia sauti kama za upepo nikiwa ndani kwangu kufuatilia nikaambiwa huyo ni jini mahaba [emoji28][emoji28][emoji28] atakuwa anakufatilia kwa mujibu wake nikatumia dawa za kisuni nikasepa maana pia maelewano baina yangu na bibie yalikuwa magumu sana ugomvi kila saa bila sababu! Ilinisaidia mpaka leo tuko freshi
Basi sawa ngoja nami nitafuta dawa za kisuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karikoo sio sehemu nzuri asilimia 20 ni majini,30 walonzi,20 wachawi,30 wezi,waharifu.
Namba zako zinaonyesha 100% ni Wahalifu.
Kwahiyo hakuna wauzaji na wanunuzi?
Au wanauza na kununua wao wenyewe?
 
Jengije kuhusu nguvu ya mti wa muhogo ni kuwa endopo unamashaka na kifo cha marehemu wako ya kwamba huenda ameuliwa kimazingara mshikishe marehemu fimbo ya mti wa muhogo halafu mzike,vumbi lake ni balaa kama kuna muhusika katika mauaji yanayohusishwa na nguvu za kiza,"atakuwa anakula bakora kila uchwao.
Ningejaribu hii mbinu, ila bahati mbaya dini ya kiislam hairuhusu kumzika maiti na vitu vya kidunia., (Vitu visivyoruhusiwa).
 
Yani wakiamua kukuanzishia noma lazima uage dunia au uame mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]noma lao ni wakishindwa level ya mkoa wa enda level ya kanda mpaka ya taifa.. Wakishindwa wanaenda kimataifa kabisa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Kumbe rufaa zao wachawi wanaweza kupeleka Hadi the Hague Yao.
 
MREJESHOO....

Baada ya kusoma uzi nikaenda kwa jirabi Mama mwaju nikachuma kisamvu nikafata masharti ya Uzi pale kwenye kupata usoni sana nikaisi kama nimeweka uso kwenye ziwa la pilipili macho yaliwasha SANAAAA nkavumilia baada ya apo Uso ukawa umekakamaa vby sana nikasubr ukauke ukakauka ila bado ulkua umekakamaa 7bu kisamvu kina utomvu mzito sana.....Basi nikatoka ndani nishuhudie ao viumbe patupu nikaenda sokoni patupu nikaenda barabarani patupu nikarudi zangu kunawa uso mfyuu
Hahahahaha,[emoji23][emoji23][emoji23] pole mwalimu.
Za kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom