Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Hii ilishamtokea shemeji yangu alikuwa anatisha kwa uganga eneo flan.akawatibu watu waliologwa.wale wachawi wakachukia wakaanza kumkalia kuanzia kikao cha kata mpaka cha kitaifa ndio wakumuweza.sikuamini kwa jinsi nilivyokuwa naujua ujuzi wake.wakawa wamempofusha kichawi.alikaa miezi 2 bila kuona.mizimu yake ikaanza kumponyesha kupitia wateja anavyowapa tiba ndio huo mchanga wa kichawi machoni ukawa unadondoka.hatimae akaona.wale wachawi wa kijiji hicho waliomkalia kamati walivyopata taharifa wakakimbia akabaki 1.alianza kufa mmoja mmoja mpaka Leo nauogopa uchawi.uchawi ni kitu kimoja hatari sana.haijalishi upo umbali gani anakufanyizia tuu.wengine hata uwe na kinga wanakupiga tuu,huwa ni hesabu tuu.hvyo usitake kuwafukunyua hawa watu,hawanaga dogo.watayaharibu maisha yako yote yawe ya laana
Huyo shemeji yako yupo hai mpaka leo?
 
Hamtaweza kutuona hyo njia tulisha stukia tuka iblock kutuona ina tumeweka maruweruwe ili kujifariji. Ila kuna njia 1 ya kutuona tushashindwa kuu block. Kisamvu...mbaazi....sukari...mwiko...mikaa....hakuna kitu
Kuna wakati nikiwa mdogo nikiota maruweruwe bibi alikuwa ananiwekea mkaa kwa mto...kumbe!!
 
Uchawi ni sayansi moja ya kimaskini saana, ingekuwa na uwezo wa kuniruhusu kuingia bank strong room na kuchukua madola hapo sawa.. au kusafiri hadi US, Ulaya kwa ndege bila visa na wafanyakazi wa ndege wakanihudumia bila shida aisee ningejiunga nao.

Kifupi uchawi hauna faida tangible..
 
Uchawi ni sayansi moja ya kimaskini saana, ingekuwa na uwezo wa kuniruhusu kuingia bank strong room na kuchukua madola hapo sawa.. au kusafiri hasi US, Ulaya kwa ndege bila visa na wafanyakazi wa ndege wakanihudumia bila shida aisee ningejiunga nao.

Kifupi uchawi hauna faida tangible.
Uchawi na umasikini ni sawa na pete na kidole

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kijiti cha muhogo pia kina maajabu enzi hizo majambazi sugu yalikuwa yanatabia za kushonewa hirizi ndani ya miili yao siku mkimdaka mtapiga hata mtenganishe kichwa na kiwiliwili bado mtu unakuta anapumua hafi. Raia wakimvunjia kijiti cha muhogo dakika moja mtu anakata roho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kisamvu tu hata ukikaaa chini ya mti wa muhogo, hakikisha kuwe na umande, niliwahi kujaribu ila kadri masaa yanavyosogea hofu inaongezeka ( hapo sjaanza kuona mauza uza)[emoji1787][emoji23]....Wenge likanifanya nikimbie..Sijajaribu tena.
 
Kuna kipindi nilikuwa naona wachawi eeh bana siku hyo kariakoo si nikawa naona vitu vya ajabu nikishtuka vinapotea, aisee kumbe kariakoo ule wingi wa watu Kuna viumbe vya ajabu sana kule.
Mimi mbona sivion Ni kwamba wewe Ni MCHAWI au mlokole MWENYE hofu ya Mungu cariha
 
Kijiti cha muhogo pia kina maajabu enzi hizo majambazi sugu yalikuwa yanatabia za kushonewa hirizi ndani ya miili yao siku mkimdaka mtapiga hata mtenganishe kichwa na kiwiliwili bado mtu unakuta anapumua hafi. Raia wakimvunjia kijiti cha muhogo dakika moja mtu anakata roho.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nasikia dawa yao minyaa tu.
 
Hii chumvi nime ikubali 100%,tuli zozana na Mkewangu akajua nita mpiga aka ondoka,akatuma sms nyiingi kua sirudi tena nime choshwa nakuni tishia kunipiga (ila hii tabia nilisha iacha kbs ya kupigana sa'bu kuna siku kipigo kilinifanya nijute kwann nime mpiga so nika apa sita rudia)basi majuzi tulipishana lugha nikamwambia leo nakuchapa,wee akatoka mbio, sasa nikajua hz sms huyu yupo serious...basi nika ona mmh sjajiandaa kumpiga chini nita kwama tuu, Basi nika choma chumvi ktk moto huku nanuia arudi [emoji2][emoji2][emoji2] baasi asubuhi sms za mikwara zika endelea mm sikua najibu,nika mwambia nakutakia kila la kheri [emoji120],Basi jioni karudi tena na story nzuuri mpaka nika shangaa [emoji848] basi nika amini hii CHUMVI ni NOMAAA sana aisee

Mkuu nimetaka niongee kitu ila Wacha ninyamaze
 
mshikishe mkono wa kulia anyooke nacho kama alivyolala haina manuizi yoyote ni baada tu ya kukikata shambani.
Asante sana mkuu. Ngoja maelekezo haya nimwachie ndugu yangu ili kama nitauliwa kichawi nikamnyooshe alieniua!!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza

Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu

Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni

Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone wachawi live wakiwa kwenye kazi zao.

Kama na wewe ni mtu anayetamani sana kuwaona viumbe hawa basi fuata taratibu zifuatazo.

Sharti
1. Usiwe muoga
2. Utakapowaona usikimbie wala kuonesha mshtuko bali tulia mpaka watakapotoweka

Tahadhari
Ni vyema uwe na kinga dhidi ya nguvu zao hasi, ili pindi utakapovunja sharti lolote hapo juu usiweze kupata madhara yoyote

MAANDALIZI
~Ponda kisamvu mpaka kiive vizuri

~Kamua ili upate maji yake

~Chukua maji hayo nawa usoni huku unanuia

Ukimaliza hapo nenda sehemu ya soko ama panapokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu ama kasimame njia panda, pia hata ukiwa ndani umelala kama watakuja utawaona

Zingatia masharti.

Leteni mrejesho mtakao waona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
Nikajua uzi wa Mshana Jr
Kumbe mpo wa kutosha
 
MREJESHOO....

Baada ya kusoma uzi nikaenda kwa jirabi Mama mwaju nikachuma kisamvu nikafata masharti ya Uzi pale kwenye kupata usoni sana nikaisi kama nimeweka uso kwenye ziwa la pilipili macho yaliwasha SANAAAA nkavumilia baada ya apo Uso ukawa umekakamaa vby sana nikasubr ukauke ukakauka ila bado ulkua umekakamaa 7bu kisamvu kina utomvu mzito sana.....Basi nikatoka ndani nishuhudie ao viumbe patupu nikaenda sokoni patupu nikaenda barabarani patupu nikarudi zangu kunawa uso mfyuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole sana mhuu na hongera kwa kutopata upofu
 
Back
Top Bottom