Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Ujinga wa vita ya kichawi..wakikushindwa kikao cha mtaa ,,wanaenda kukujadili adi kikao cha mkoa..
Yani wakiamua kukuanzishia noma lazima uage dunia au uame mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]noma lao ni wakishindwa level ya mkoa wa enda level ya kanda mpaka ya taifa.. Wakishindwa wanaenda kimataifa kabisa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza

Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu

Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni

Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone wachawi live wakiwa kwenye kazi zao.

Kama na wewe ni mtu anayetamani sana kuwaona viumbe hawa basi fuata taratibu zifuatazo.

Sharti
1. Usiwe muoga
2. Utakapowaona usikimbie wala kuonesha mshtuko bali tulia mpaka watakapotoweka

Tahadhari

Ni vyema uwe na kinga dhidi ya nguvu zao hasi, ili pindi utakapovunja sharti lolote hapo juu usiweze kupata madhara yoyote

MAANDALIZI
~Ponda kisamvu mpaka kiive vizuri

~Kamua ili upate maji yake

~Chukua maji hayo nawa usoni huku unanuia

Ukimaliza hapo nenda sehemu ya soko ama panapokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu ama kasimame njia panda, pia hata ukiwa ndani umelala kama watakuja utawaona

Zingatia masharti.

Leteni mrejesho mtakao waona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
mi nataka nimkamate mmoja nimpige paipu za kutosha mwongozo mkuu?
 
Watu waliokata tamaa wanapenda kujaribu kila kitu mpaka wapate wanachokitafuta
 
MREJESHOO....

Baada ya kusoma uzi nikaenda kwa jirabi Mama mwaju nikachuma kisamvu nikafata masharti ya Uzi pale kwenye kupata usoni sana nikaisi kama nimeweka uso kwenye ziwa la pilipili macho yaliwasha SANAAAA nkavumilia baada ya apo Uso ukawa umekakamaa vby sana nikasubr ukauke ukakauka ila bado ulkua umekakamaa 7bu kisamvu kina utomvu mzito sana.....Basi nikatoka ndani nishuhudie ao viumbe patupu nikaenda sokoni patupu nikaenda barabarani patupu nikarudi zangu kunawa uso mfyuu
Imeisha hiyo
 
Hujawafundisha hayo maji unanawa vp usoni na kwa direction gani, hujinawii tu kama umetoka kulala
 
Ujinga wa vita ya kichawi..wakikushindwa kikao cha mtaa ,,wanaenda kukujadili adi kikao cha mkoa..
Hii ilishamtokea shemeji yangu alikuwa anatisha kwa uganga eneo flan.akawatibu watu waliologwa.wale wachawi wakachukia wakaanza kumkalia kuanzia kikao cha kata mpaka cha kitaifa ndio wakumuweza.sikuamini kwa jinsi nilivyokuwa naujua ujuzi wake.wakawa wamempofusha kichawi.alikaa miezi 2 bila kuona.mizimu yake ikaanza kumponyesha kupitia wateja anavyowapa tiba ndio huo mchanga wa kichawi machoni ukawa unadondoka.hatimae akaona.wale wachawi wa kijiji hicho waliomkalia kamati walivyopata taharifa wakakimbia akabaki 1.alianza kufa mmoja mmoja mpaka Leo nauogopa uchawi.uchawi ni kitu kimoja hatari sana.haijalishi upo umbali gani anakufanyizia tuu.wengine hata uwe na kinga wanakupiga tuu,huwa ni hesabu tuu.hvyo usitake kuwafukunyua hawa watu,hawanaga dogo.watayaharibu maisha yako yote yawe ya laana
 
Tumia tiba yetu ile ya chumvi ya mabonge

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chumvi nime ikubali 100%,tuli zozana na Mkewangu akajua nita mpiga aka ondoka,akatuma sms nyiingi kua sirudi tena nime choshwa nakuni tishia kunipiga (ila hii tabia nilisha iacha kbs ya kupigana sa'bu kuna siku kipigo kilinifanya nijute kwann nime mpiga so nika apa sita rudia)basi majuzi tulipishana lugha nikamwambia leo nakuchapa,wee akatoka mbio, sasa nikajua hz sms huyu yupo serious...basi nika ona mmh sjajiandaa kumpiga chini nita kwama tuu, Basi nika choma chumvi ktk moto huku nanuia arudi [emoji2][emoji2][emoji2] baasi asubuhi sms za mikwara zika endelea mm sikua najibu,nika mwambia nakutakia kila la kheri [emoji120],Basi jioni karudi tena na story nzuuri mpaka nika shangaa [emoji848] basi nika amini hii CHUMVI ni NOMAAA sana aisee
 
Back
Top Bottom