donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
- #61
Ndio maana inabidi uwe na antivirusUsije ukajaribu hii unaweza kuwa kichaa mazimaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana inabidi uwe na antivirusUsije ukajaribu hii unaweza kuwa kichaa mazimaaaa
Mkubwa, mimi wakati naandika uzi huu alfajiri ya leo walinitembelea wanne, ila kimewakumba, mmoja analiaHivi noma la wachawi utaweza lihimili. Wakiamua kukinukisha utahama mji kama sio kuiacha dunia
Kuna kipindi nilikuwa naona wachawi eeh bana siku hyo kariakoo si nikawa naona vitu vya ajabu nikishtuka vinapotea, aisee kumbe kariakoo ule wingi wa watu Kuna viumbe vya ajabu sana kule.
Unatamka kwamba nataka kuwaona wachawiKunuia ndo kufanyaje? Hata hivyo ni risk kubwa sana hii
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mzee wa kilaji na msosi sasa hivi umeingia kwenye Uganga
Curiosity killed a catBinadam huwa tunaangamia kwa sababu ya curiosity
Wanajua kabisa kuwa kuna boya anawapiga chabo kwahiyo wanachofanya kukusaidia ni kukupofua machoKwamba ikiwaona nao wanajua kuwa umewaona, au nawaona wao hawanioni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana pale mkuu, saaanaKuna kipindi nilikuwa naona wachawi eeh bana siku hyo kariakoo si nikawa naona vitu vya ajabu nikishtuka vinapotea, aisee kumbe kariakoo ule wingi wa watu Kuna viumbe vya ajabu sana kule.
Hahahaha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23]We donlucchese kweli we si mtu, umenilazimisha kumuomba Mshana Jr msamaha baada ya kugundua kuwa nimemuona yeye na wenzake sokoni Tandale jana usiku wakiwa njiani kuelekea Mwanga (Kilimanjaro). Alikuja Mshana na wenzake wakanipiga vibao na kuniambia niache upuuzi wa kuwafuatilia. Sina hamu na kisamvu kwa kweli.
Wakishindwa cha mkoa ukustakia kwa shetani mwenyewe.Ujinga wa vita ya kichawi..wakikushindwa kikao cha mtaa ,,wanaenda kukujadili adi kikao cha mkoa..
Ahahaaaa....! Wakikushindwa cha mkoa,wanaenda cha kitaifa.....duuuh....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujinga wa vita ya kichawi..wakikushindwa kikao cha mtaa ,,wanaenda kukujadili adi kikao cha mkoa..
[emoji3][emoji3][emoji3]Mzee wa kilaji na msosi sasa hivi umeingia kwenye Uganga
Pemba ñenda pale maeneo ya wesha kuna Mzee mmoja gwijiJe hii dawa inaweza kutumika kwa popo bawa pia?Niko Pemba
Kisamvu ni shetani mkuu?Bado wananzengo wataamini ndumba kuliko Mungu.
Watu wanapenda sana msaada wa shetani kupambana na shetani
[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]Haki ya Mungu nikipona haya majeraha yako nitakushitaki kwa Mze Mpili.
Rebecca hujambo bibie..?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]