Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Yaani kutumia mbinu ya kuzimu kuwaona watumishi wake? NehiDuniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu
Kisamvu ni mboga,mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni
Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa,majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone wachawi live wakiwa kwenye kazi zao.
Kama na wewe ni mtu anayetamani sana kuwaona viumbe hawa basi fuata taratibu zifuatazo
Sharti
1.usiwe muoga
2.utakapowaona usikimbie wala kuonyesha mshtuko bali tulia mpaka watakapotoweka
Tahadhari
~ni vyema uwe na kinga dhidi ya nguvu zao hasi,hili pindi utakapovunja sharti lolote hapo juu usiweze kupata madhara yoyote
MAANDALIZI
~Ponda kisamvu mpaka kiive vizuri
~Kamua hili upate maji yake
~Chukua maji hayo nawa usoni huku unanuia
Ukimaliza hapo nenda sehemu ya soko ama panapokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu ama kasimame njia panda,pia hata ukiwa ndan umelala kama watakuja utawaona
Zingatia masharti.
Leteni mrejesho mtakao waona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
Mimi nimeona mpaka majini, mapepo na Malaika lakini sijawahi kunuizia kuwaona.
Hapa ninaishi kwa neema kwani nimeshapitia deathrow zaidi ya mara tatu na sifi.
Mungu ndiye mpango mzima