Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza

Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu..
We donlucchese kweli we si mtu, umenilazimisha kumuomba Mshana Jr msamaha baada ya kugundua kuwa nimemuona yeye na wenzake sokoni Tandale jana usiku wakiwa njiani kuelekea Mwanga (Kilimanjaro). Alikuja Mshana na wenzake wakanipiga vibao na kuniambia niache upuuzi wa kuwafuatilia. Sina hamu na kisamvu kwa kweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We donlucchese kweli we si mtu, umenilazimisha kumuomba Mshana Jr msamaha baada ya kugundua kuwa nimemuona yeye na wenzake sokoni Tandale jana usiku wakiwa njiani kuelekea Mwanga (Kilimanjaro). Alikuja Mshana na wenzake wakanipiga vibao na kuniambia niache upuuzi wa kuwafuatilia. Sina hamu na kisamvu kwa kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2815]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza

Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu

Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni

Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone wachawi live wakiwa kwenye kazi zao.

Kama na wewe ni mtu anayetamani sana kuwaona viumbe hawa basi fuata taratibu zifuatazo.

Sharti
1. Usiwe muoga
2. Utakapowaona usikimbie wala kuonesha mshtuko bali tulia mpaka watakapotoweka

Tahadhari
Ni vyema uwe na kinga dhidi ya nguvu zao hasi, ili pindi utakapovunja sharti lolote hapo juu usiweze kupata madhara yoyote

MAANDALIZI
~Ponda kisamvu mpaka kiive vizuri

~Kamua ili upate maji yake

~Chukua maji hayo nawa usoni huku unanuia

Ukimaliza hapo nenda sehemu ya soko ama panapokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu ama kasimame njia panda, pia hata ukiwa ndani umelala kama watakuja utawaona

Zingatia masharti.

Leteni mrejesho mtakao waona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
Je hii dawa inaweza kutumika kwa popo bawa pia?Niko Pemba
 
Mkuu umewaona mpaka malaika ?!!!

Ulijuaje kuwa ni malaika ?!!

Uliongea nao?
Unapokutana na kiumbe chochote kisicho cha kawaida hata shetani, wewe uliza WHO ARE YOU?

Kumbuka viumbe visivyo na mwili vinabeba umbo lolote kwa malengo wanayoyatarajia.

Mzee, nimekutana nao, nimeongea nao na pia nimechepushwa njia za kifo mara tatu zaidi.

Mtu anapokupa mbinu za kigiza giza ili uyaone yaliyogizani huyo anatafuta new members. Ukitaka kuyaona ya gizani just tumia light
 
Back
Top Bottom