Uchawi ni sayansi moja ya kimaskini saana, ingekuwa na uwezo wa kuniruhusu kuingia bank strong room na kuchukua madola hapo sawa.. au kusafiri hadi US, Ulaya kwa ndege bila visa na wafanyakazi wa ndege wakanihudumia bila shida aisee ningejiunga nao.
Kifupi uchawi hauna faida tangible..
Uchawi ni umasikini.Uchawi na umasikini ni sawa na pete na kidole
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu za siku, mbona umetukimbia, hata kuja kusalimia unashindwa!!?Si kisamvu tu hata ukikaaa chini ya mti wa muhogo, hakikisha kuwe na umande, niliwahi kujaribu ila kadri masaa yanavyosogea hofu inaongezeka ( hapo sjaanza kuona mauza uza)[emoji1787][emoji23]....Wenge likanifanya nikimbie..Sijajaribu tena.
Ulitumia njia gani mpendwa?Niliwahi kuwaona mara mbili sitamani tena
Hakuna njia nimetumia uwezo wa Mungu mpendwa naweza kuonaUlitumia njia gani mpendwa?
Basi una elimu kubwa na mchamungu wa kiwango cha juu.Hakuna njia nimetumia uwezo wa Mungu mpendwa naweza kuona
Pls mark this post...![emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu post yako hii nimeichukua naihifadhi.
Tarehe 25 nitakutafuta
[emoji120][emoji120][emoji120]
Asante mpendwa japo ni changamoto nyingi nakutana nazoBasi una elimu kubwa na mchamungu wa kiwango cha juu.
Watu wa aina yako walikuwepo zama nabii Suileman bin Dawud.
Hongera
Naomba nikuone ili unisaidie kwenye hizi changamoto ninazopitia mpendwa wanguAsante mpendwa japo ni changamoto nyingi nakutana nazo
Pole sana mpendwa wangu ishaalah zitatatulika ila mimi sio mtaalamu bali nina uwezo wa kuona nikilala then wakija wachawi.Naomba nikuone ili unisaidie kwenye hizi changamoto ninazopitia mpendwa wangu
Hii dawa ni ya kweli?Usije ukajaribu hii unaweza kuwa kichaa mazima.
Napenda Sana NINGEKUWA Kama wewe ningeomba neema kwa Mungu anizidishie nguvu Mara Mia niwatese kwa nguvu za Kimungu. carihaMkuu husali tu kawaida tangu utotoni nilikuwa naona hivo vitu aisee Hadi maza jirani mwanga alikuwaga ananivhukua kwake kila akitaka kunikata ulimi wangu ulimi unateleza anashindwa mpaka nimekuwa Kuna ntu aliniombea nisiwe naona ila baada ya mda business as usual. SEMA kuona hivo huleta shida sana bana.
Uliwagundua au wanatisha sana?Niliwahi kuwaona mara mbili sitamani tena
Minyaa unaifanyaje
Mkuu za siku, mbona umetukimbia, hata kuja kusalimia unashindwa!!?
Uje tukuone, maana tumekumis
Binadamu akiwa kwenye ulimwengu wa giza anatisha mkuuUliwagundua au wanatisha sana?
Sihifaham mkuuHao majambazi sugu wanaotumia sijui hirizi wanapata kipigo kikubwa lakini wanaendelea kudunda tu, wakichapwa na hiyo minyaa unakuwa umemaliza kila kitu....Sijui minyaa yenyewe waifahamu???[emoji23][emoji1787]
Wewe ni mrembo haswa ehe tuambiane uliwaonaje onajeNiliwahi kuwaona mara mbili sitamani tena
😀😀😀kwa macho mkuuWewe ni mrembo haswa ehe tuambiane uliwaonkwaaje onaje