sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mbona nasikia na Kusaga ana mkono wake humo, au ni wambea, wazushi, wachonganishi Na wachochezi tu?Subiria tu Povu kutoka kwa wasio wana Jf
ushajiuliza izo kelele za kusaga kwa nn zinapotea kwa kas ya ajab?Mbona nasikia na Kusaga ana mkono wake humo, au ni wambea, wazushi, wachonganishi Na wachochezi tu?
Diamond ni kipenzi cha members wa JF.Subiria tu Povu kutoka kwa wasio wana Jf
Radio na tv bado hazijawashwa, ila zitawashwa muda wowote.Tuwekee frequence za radio yake hapa