sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hongera kwa kufungua radio na tv.
Hongera kwa kutumia vyema wakati wako... ukipata wakati uutumie vyema
Waswahili wanasema ukishikwa shikamana.
Kweli Diamond alishikwa na akashikama kiasi cha kuweza kumiliki kitu kikubwa kama hiki.
Pongezi nyingi nakupa