Nampa hongera Diamond kwa kufungua kituo cha TV

Nampa hongera Diamond kwa kufungua kituo cha TV

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
19a946d64c6090b5b9b4691c3290de9b.jpg


Hongera kwa kufungua radio na tv.

Hongera kwa kutumia vyema wakati wako... ukipata wakati uutumie vyema

Waswahili wanasema ukishikwa shikamana.

Kweli Diamond alishikwa na akashikama kiasi cha kuweza kumiliki kitu kikubwa kama hiki.


Pongezi nyingi nakupa
 
Tuwekee frequence za radio yake hapa
Radio na tv bado hazijawashwa, ila zitawashwa muda wowote.

Tegemea kuona sura mpya kabisa zenye vipaji vikubwa.

Tegemea kuona kina Oprah wapya kina Larry King wapya kina Chamelne wapya kina Piers morgan kina dj envy
 
I am Chalamagne thA goD, supa dupa presenter from the street.hire me domo hire me domo puliz.
 
Back
Top Bottom