Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Kabisa akasema ana BMW, bado hujamjua tu😂😂😂?Hana pesa...wenye pesa hawasemagi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa akasema ana BMW, bado hujamjua tu😂😂😂?Hana pesa...wenye pesa hawasemagi
Njoo unitajie huku chemba basiiiiKabisa akasema ana BMW, bado hujamjua tu😂😂😂?
Ona sasa😂😂Kabisa, kuna mwengine niliona anamsema mdada wa humu eti kavaa miwani mikubwa amekaa kwenye gari yake halafu ni shapeless😂😂😂.
Ila yule kaka hajielewi trust me. Ko alitaka tujue ana gari🥴
Watu wanafanya utani tu, siamini kama kuna ukweli wowote. Yaani nikutoe out then nije kuhabarisha umma kuwa Ms eyes yupo hivi na vile, sio kweli hakuna Me anaweza fanya hivyo.Mhh sidhani kama wanachangamsha genge kwa kweli.
Lazima tuogope na kuwa makini
🤣🤣🤣Asije kuwa new gal
I can’t.Usijaribu,nitafika kwa mama J na bakora.
Hahahahaha ukiona hivyo bado mtoto huyoKwani kuwa shapeless ni dhambi...🤣🤣🤣 ila watu wana akili za kitoto sana humu
I tell you!Mh sidhani
Kabisa😂Hahaha,mimi na yeye tunaomba tukuone kwa pamoja,hatuna ubaya na mtu.
Kabisa mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hiviHahahahaha ukiona hivyo bado mtoto huyo
Nijibu kwanza pm 🤣🤣🤣Kabisa😂
Mkuu angalia usije kuwa una-chat na li george aloyce!!Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Ukideal na watoto watakuleta utotoKabisa mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivi
Nimenotice hilo, tatizo kubwa linaanzia hapoTrue that. Atakuwa hayuko sawa hata kidogo.
Sema nini, pipo zipo na groups, hilo ni tatizo kubwa sana
Unamchanganyia madesa [emoji16]"Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa"
Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa
Chama cha wakataa ndoa wengi wao wameangukia kwa hawa wadada wa humu ndani Habari ndugu zangu ikiwa ni jumamosi ya mwisho ya mwaka 2023. Nayasema haya kutokana na utafiti wangu wa kimnya kimnya nilioufanya kutoka kwa hawa dada zetu wa Jf, nipo hapa kupigwa mawe pasi na kujali lolote ila ukweli...www.jamiiforums.com
View attachment 2875217
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kila siku nakuambia "Our issues should stay in our own backyard,tupigane ngumi"labdaI can’t.
Ila honestly, mwanzo nilikuwa nakuogopa wewe unaweza kunisema huku😂😂😂😂.
I’m sorry for being negatively.
Well notedUkideal na watoto watakuleta utoto
Hana shida?Kabisa😂