Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Kabisa, kuna mwengine niliona anamsema mdada wa humu eti kavaa miwani mikubwa amekaa kwenye gari yake halafu ni shapeless😂😂😂.

Ila yule kaka hajielewi trust me. Ko alitaka tujue ana gari🥴
Ona sasa😂😂
Hii Jf sijui imekuwaje😂 ni aibu
 
Huyo ni mme wa mtu na ana watoto 2 na mke wake. Kwahiyo utaenda kuchezea. Jipange, jiandae. Usiseme hatukukuambia🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mhh sidhani kama wanachangamsha genge kwa kweli.

Lazima tuogope na kuwa makini
Watu wanafanya utani tu, siamini kama kuna ukweli wowote. Yaani nikutoe out then nije kuhabarisha umma kuwa Ms eyes yupo hivi na vile, sio kweli hakuna Me anaweza fanya hivyo.
 
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Mkuu angalia usije kuwa una-chat na li george aloyce!!
 
"Usioe wanawake wa JF hawa ni warahisi na wepesi mno kuchakatwa"


View attachment 2875217

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Unamchanganyia madesa [emoji16]
 
Back
Top Bottom