Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Status
Not open for further replies.
Siku mimi nikipigwa hicho kitofali nitajisika vibaya mno kwasababu wana jf ni wana na ndugu zangu, Kuwakosa kwa mda fulani ni huzuni kwangu.
Kupigwa kitofali n rahisi kama ukiwa unatofautiana mawazo na watu wa humu mana watakasirika na kufanya upigwe ban, ila kama ww n mtu wa kulike tuu huwez kupigwa kitofali.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…