ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Wale unaowaitaga vichaa😂🤸Dhehebu la mlokole ndio lipoje hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale unaowaitaga vichaa😂🤸Dhehebu la mlokole ndio lipoje hilo?
Unatumia tu ndani kwako ,kwangu bar ni marufuku😁😁😂😂😂 Badala ya kuupooza mwili ndo kwanza atapigwa spana achakae. Chezea toto za mjini
Basi onja wine ni kama divai tuMlokole wa kisasa
Wale wa kufanya maombi ya kujivuruga kabisa😁Wale unaowaitaga vichaa😂🤸
Mkuu sitokuja kutumia📌Basi onja wine ni kama divai tu
Yes tunaomba tunalia hadi makamasiWale wa kufanya maombi ya kujivuruga kabisa😁
Wine ni nzuri kiafya , inapunguza mafuta mwilini ,kukupa afya na ubora wa ngozi .Mkuu sitokuja kutumia📌
Mimi yangu misosi tu
😁😁😁Yes tunaomba tunalia hadi makamasi