min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Dah bia ni tamu mno ila kitu nakiogoapa ni kupata kitambi tu😁😁😁Unazoea hadi unapata kiu cha bia sometimes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah bia ni tamu mno ila kitu nakiogoapa ni kupata kitambi tu😁😁😁Unazoea hadi unapata kiu cha bia sometimes
Wewe hunywi kabisa?Aisee! Furahia mkuu🥂
Unapiga tizi tu mkuuDah bia ni tamu mno ila kitu nakiogoapa ni kupata kitambi tu😁😁😁
Ndio na sitokuja kuthubutuWewe hunywi kabisa?
Tizi huwa napiga sema nikila bia siku mbili tu, naona tumbo linaanza kuwa rojorojo😁Unapiga tizi tu mkuu
Kwa nini hata mvinyo?Ndio na sitokuja kuthubutu
Bia mbili tatu mbona hazihitaji pesa mingi mkuu?
Siwezi labda divai tunayopewa kanisaniKwa nini hata mvinyo?
Kinga ya nini tena mkuu kwenye kuupongeza mwili 😁😁😁Asije sema hatumwambia. Tahadhari ni Bora kuliko Kinga😂😂
Acha woga mkuu😅Ndio na sitokuja kuthubutu
Basi kunywa whiskey or spiritTizi huwa napiga sema nikila bia siku mbili tu, naona tumbo linaanza kuwa rojorojo😁
Ile divai inahamasisha ulevi tu , kuna rafiki yangu alikua akiipata jp inamwamshia kiu anashinda bar siku hiyo😁😁😁Siwezi labda divai tunayopewa kanisani
Nilijiambia hivyo tokea nakua sitogusa pombe wala kilevi chochote
Siwezi kutumia kabisaaaAcha woga mkuu😅
Jaribu sweet wine🍷
Nishawahi kutumia mara moja siku ya pasakaIle divai inahamasisha ulevi tu , kuna rafiki yangu alikua akiipata jp inamwamshia kiu anashinda bar siku hiyo😁😁😁
Ohoo kumbe mlokoleNishawahi kutumia mara moja siku ya pasaka
Mimi dhehebu langu ni mlokole hatutumii mara kwa mara
😂😂😂 Badala ya kuupooza mwili ndo kwanza atapigwa spana achakae. Chezea toto za mjiniKinga ya nini tena mkuu kwenye kuupongeza mwili 😁😁😁
Dhehebu la mlokole ndio lipoje hilo?Nishawahi kutumia mara moja siku ya pasaka
Mimi dhehebu langu ni mlokole hatutumii mara kwa mara
Mlokole wa kisasaOhoo kumbe mlokole