Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Status
Not open for further replies.
Wanaedit wanajua wengi wenu humu hamjui kitu kuhusu editing. Tatizo hawajui wengine sisi ni watu gani, mimi hapa nipo kuhave fun tu wao wanaleta ujinga wao
😂😁😁Kwanza hata kuedit kwenyeww hawajui Hawa wanajifunza ni wahuni Hawa😂😁😁
Sasa wakati zinatunwa jwanini msiseme hizi ni za kuedit hizi sio?
 
😂😁😁Kwanza hata kuedit kwenyeww hawajui Hawa wanajifunza ni wahuni Hawa😂😁😁
Kwanza akili hawana kabisa wamejifunza editing mitaani huko then wanajifanya wajuaji. Inshort mimi sikutaka kabisa kuwaharibia michezo yao, so i was like joking them bila wao kujua but i know everything nilikuwa nawaangalia na nilijua wanafanya just for fun
 
Mnahave fun wapi nyie waharibifu wa majukwaa na mambo zenu za upinde.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom