Nampenda binti wa chumba cha jirani

Umri wako tafadhali
 
Umeoa au umeweka ndani kienyeji,iwapo umeoa na bado unawaza hayo jua life limekushinda kabla ya kuanza,ila kama unatafuta kuoa na hujapata endelea kutafuta ila sii kwa mtindo wa chumba jirani,vinginevyo utafungua bucha la nyama isiyolika hapo hivi karibuni🤣
 
Tamaa mbaya
 
huo ndio ushauri unaotakiwa sasa
 
Chanzo cha umaskini
 
Usimjali mke wako, wewe chapa tu huyo msichana na mkeo akijuwa mnunulie khanga mpya na Iphone 15.
 
kipato changu kwanza wakijua
Hulka tabia na mienendo ya hivyo ndio njia kuu ya kuendelea kuwa maskini.....
Ref.ungekuwa na pato la kueleweka usingekuwa kwenye mazingira ya hivyo..." chumba cha jirani"... ungekuwa kwenye mjengo wako...fenced.
 
Usimwambie lolote

Ila ,mwombe ukampangie sehemu ingine kodi ikiisha kisha atajiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…