Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

shukrani
 
Kijana acha ujinga narudia acha ujinga nasisitiza acha ujinga,Piga chini huyo manzi full stop.
 
Tajiri na tajiri ,masikini hathamininiki .....Mimi Nina pesa lete kijiti nikupokee
 
Nipe namba zake nimshauri aache hizo Tabia , Atabadilika tu Mkuu
 
Lol mwanaume unataka mteremko wewe.Utadharauliwa wewe na ukoo wako wote.
 
nataka kuoa, ila pia naagalia kama nikifariki watoto wangu watabaki kwenye hali gani ya kimaisha
Mbona unatanguliza kufariki? Una matatizo gani? Je akifa yy akakuachia hao madogo?[emoji848]
 
Kuwa muwazi... Unataka kuoa au unataka kuolewa....?
nataka kuoa, ila pia naagalia kama nikifariki watoto wangu watabaki kwenye hali gani ya kimaisha
 
Kidume kinaandika bila aibu nanukuu "eti najua nikifariki watoto wangu wataishi bila shida "je akitangulia huyo Mwanamke mada yake imenishangaza mno na kunisikitisha
atabaki bibi yake na babu upande wa mama, bado atasoma na kuishi kuzuri
 
Nakubaliana na ww mkuu...yan Ukishajionyesha ni dhaifu kwa mwanamke utadharaulika kama mtoa mada ..alivyo bwege
 
Wanaume wanazidi kupungua tu kila siku.

Kumbuka maisha mtakayo ishi kwenye mahusiano yenu ya ndoa ndio yatakayo zaa/jenga akili za watoto wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…