Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

We jamaaa ni marioo wa dunia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nina uhakika we ni mgogo

Mwanaume gani anapenda mtelezo hivo? Hata Capten wa lady jaydee ana unafuu asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakupa miezi sita utatolewa usipobadilika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
baba nipo mkuu, ila najaribu kuangalia pia upande wa mama ale goodtime
Mama yupi?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...mamaako?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

We jamaa ni ndezi sio la dunia hii
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Kupatwa kwa mwanaume
 
Mama yupi?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]...mamaako?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

We jamaa ni ndezi sio la dunia hii
mkuu uyu binti kwao pesa ipo sana, ndio maana naogopa sana kumuacha ingawaje sio wife material kabisaa kwangu
 
Yule manzi wako wa kimbulu umeshamuoa mkuu?
 
Basi kijana utakuwa una sura ya mama ako,msafi,mvivu vivu..


Wewe ni wale marioo na marioo siku zote hatakiwi kuwa na msimamo wala kuhonga..

Oa huyo upate hela kijana,kwanini usumbuke kama sisi wenzako wakati watoto wa kishua wanapenda sura nzuri na wewe unayo?
 
Mkuu mimi nimewahi kuwa na demu wa dizaini hiyo lakini kila nkikumbuka tabia zake roho inagoma kuliko kukumbatia pesa za nyumbani kwao. Nilifanya maamuzi nkampiga chini kwakuwa nimesomea noble profession nkajipa moyo bora nitafte pesa zangu mwenyewe niishi na mtu naependezwa na tabia zake. I am married now and very happy. Ninachopata siyo chakubeza. Maisha yanakwenda vizuri tu.
 
Sasa unataka kuoa sababu ya hali ya kwao ya kiuchumi? Umempendea pesa aisee🤔nashauri muoe mtu ambaye unampenda/mnapendana kama ni pesa mtatafuta za kwenu hata ukifa watoto wataishi na mama yao na pesa mlizotafuta. Usijilazimishe kwa mtu unayehisi humpendi, ndoa ni kifungo cha maisha kile usijekujuta bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…