Nampenda ila katiwa mimba

Amepata upendo wa ghafla kwako ili umsaidie kulea mimba na mtoto mtarajiwa.
hii point maana nimemgharamia sana kipindi ichi kichache cha mahusiano yetu
 
Point
 
Baharia angekubali mimba,dem asingeenda kwa jamaa..
 
Mwanamke anayetaka kutoa mimba eti awe na fulani huyo ni muuaji na jini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jambo baya ktk mapenz kama kuwa ndumi la kuwili. Ukishaamua moja simamia maamuz yako mwanaume. Au wewe n mvulana?
 
huo sio mtihani ndugu mwandishi. hilo ni FUNZO, kwake yy na kwako pia.. hapo unatakiwa ujifunze kua SIO KILA UNACHOKIPENDA NA KUKITAKA UTAKIPATA. potezea mkuu, fanya mambo yako pita kushoto.
"kua makini na wanawake, ni katili sana".
 
Ngoja nizungumze upuuzi wa hawa baadhi ya mabinti......

Narudia kusema, wewe msichana,mdada,mwanamke kabla ya kufanya maamuzi kagua na tafakari maamuzi yako......

Mpo kwenye mahusiano week 1 tu au mwezi mmoja hiyo tabia ya kujiachia usiku kucha na kujifanya wewe ndiye mkewe hii biashara itawaacha wengi wakiwa na watoto majumbani wakilelewa na Bibi zao


WEEKEND NJEMA [emoji34][emoji34][emoji34]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna msichana tumekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi 11
kwa sasa ana ujauzito wa mwez mmoja kapachikwa na baharia mmoja huko buza
Huyu mwanamke sio mwaminifu na wala hakupendi.

kipindi chote icho hakuwa na imani na mimi kama nipo serious nae kwa sasa anadai ananipenda sana baada kugundua upendo wangu wa dhati kwake
Mimba ndio imemfanya awe karibu na wewe baada ya mchizi wake kumtema.


Hakuna mwanamke hapo, jiongeze.
 
Imekaaje ?unakuta mwanamke anapata mahitaji yote ila anatembea na house boy kimyakimya ? Ona sasa huyu kapewa upendo wa hali ya juu ila mchizi kajishindia !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo msimamo wake kutoa hiyo mimba ndio inanipa hofu ikitokea sijaoa familia yake na yeye watanichukuliaje mkuu ka si kurogwa nini kinafuata
Hivi kiukweli hujui kabisa la kufanya hadi unaomba ushauri humu au changamsha genge tu?? Na kweli unaamini anakupenda kweli?? Au kaona mchizi mwenye mimba unamzidi kipato? Watu mpaka wamepeana mimba wewe Bado unaamini unapendwa ,haya mkuu kila la kheri ila usishiriki kwenye kutoa mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anachosema kamwambia jamaa mimba imeharibika kwahiyo atajifungua vizuri tu alafu mtoto atalelewa na wazazi wake ili mimi niendelee nae nimuoe jamani mimi nisije rogwa tu huyu mtoto hataki kuniacha tena na kaapa haniachi
Yani wewe mwambie ampende aliempa hiyo mimba, kwanini wakuloge wewe wasimloge alieikataa hiyo mimba?

Kama kweli anakupenda kwanini akabeba mimba ya baharia?

Kama kulogwa huyoo mwenye mimba angelogwa afe kisha wewe kamata usukani

Qn
 
najaribu kumuacha lakini yeye hataki nimemwambia ntakusaidia kama rafiki lakini mapenzi siwezi nayeye tena lakini hanielewi asee kanigandaa
kuwa mwanaume....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…