Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PointYaani hadi ilo unauliza yaani baharia ashakuchapia bado unashindwa ufanyaje mkuu tayari ushatengenezwa tayari usharogwa [emoji16]
Inauma ila we alikufanya "second option" ndo maana aka Ku cheat akupendi kivile ye anaangalia kwenye unafuu na ameku cheat na hana option nyengine mshikaj kamkataa kaamua arud kwako boya mwenye huruma
Unatia aibu hili si lakuomba ushauri kabisa
HIVI INAKUAJE SIKU HIZI WANAUME TUNASHINDWA KUFANYA MAAMUZI KWENYE MAMBO MADOGO KAMA HAYA HIVI SHIDA NI NINI WAKUU ?
we familia yake na wewe inakuhusu nini ? Piga chini hoe huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Baharia angekubali mimba,dem asingeenda kwa jamaa..Yaani hadi ilo unauliza yaani baharia ashakuchapia bado unashindwa ufanyaje mkuu tayari ushatengenezwa tayari usharogwa [emoji16]
Inauma ila we alikufanya "second option" ndo maana aka Ku cheat akupendi kivile ye anaangalia kwenye unafuu na ameku cheat na hana option nyengine mshikaj kamkataa kaamua arud kwako boya mwenye huruma
Unatia aibu hili si lakuomba ushauri kabisa
HIVI INAKUAJE SIKU HIZI WANAUME TUNASHINDWA KUFANYA MAAMUZI KWENYE MAMBO MADOGO KAMA HAYA HIVI SHIDA NI NINI WAKUU ?
we familia yake na wewe inakuhusu nini ? Piga chini hoe huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke anayetaka kutoa mimba eti awe na fulani huyo ni muuaji na jini.Kuna msichana tumekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi 11, ila kipindi chote icho hakuwa na imani na mimi kama nipo serious nae kwa sasa anadai ananipenda sana baada kugundua upendo wangu wa dhati kwake, tatizo linakuja kwa sasa ana ujauzito wa mwez mmoja kapachikwa na baharia mmoja huko buza na huyu binti kawaeleza ndugu zake ananipenda mimi na hataki kuwa na huyo baharia na jamaa hana mpango na iyo mimba,
nilichoamua kumwambia siwezi kuwa nae kwakua siwezi lea mtoto wa mtu pia nina safari ndefu katika maisha haya huyu binti hataki kunielewa kabisa ukweli ni kwamba nilikuwa na marengo nae mazuri tu ila hii hari aliyonayo imenikatisha mood kabisa ila yeye hataki kunielewa kwakweli nimejaribu kumsihi alee mimba yake na mchizi anadai anataka kuitoa hiyo mimba ili awe namimi nije kumuoa ukweli nipo njia panda sijui nawezaje kuishinda mtihani huu ukizingatia wazazi wake wamemkataza hasitoe hiyo mimba na huyu binti hataki kuelewa yeye anataka kuwa namimi na mimi siwezi lea mtoto wa jamaa kwa kweli nampenda sana ila huu mtihani umeninyima nguvu sijui nini nifanye
Kuna msichana tumekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana mwezi 11
Huyu mwanamke sio mwaminifu na wala hakupendi.kwa sasa ana ujauzito wa mwez mmoja kapachikwa na baharia mmoja huko buza
Mimba ndio imemfanya awe karibu na wewe baada ya mchizi wake kumtema.kipindi chote icho hakuwa na imani na mimi kama nipo serious nae kwa sasa anadai ananipenda sana baada kugundua upendo wangu wa dhati kwake
Hivi kiukweli hujui kabisa la kufanya hadi unaomba ushauri humu au changamsha genge tu?? Na kweli unaamini anakupenda kweli?? Au kaona mchizi mwenye mimba unamzidi kipato? Watu mpaka wamepeana mimba wewe Bado unaamini unapendwa ,haya mkuu kila la kheri ila usishiriki kwenye kutoa mimbatatizo msimamo wake kutoa hiyo mimba ndio inanipa hofu ikitokea sijaoa familia yake na yeye watanichukuliaje mkuu ka si kurogwa nini kinafuata
Yani wewe mwambie ampende aliempa hiyo mimba, kwanini wakuloge wewe wasimloge alieikataa hiyo mimba?Anachosema kamwambia jamaa mimba imeharibika kwahiyo atajifungua vizuri tu alafu mtoto atalelewa na wazazi wake ili mimi niendelee nae nimuoe jamani mimi nisije rogwa tu huyu mtoto hataki kuniacha tena na kaapa haniachi
Tayari mkuu japo kaapia atafanya jambo huko halipo mm sina habari
inaumaa sana mkuuImekaaje ?unakuta mwanamke anapata mahitaji yote ila anatembea na house boy kimyakimya ? Ona sasa huyu kapewa upendo wa hali ya juu ila mchizi kajishindia !
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa mwanaume....najaribu kumuacha lakini yeye hataki nimemwambia ntakusaidia kama rafiki lakini mapenzi siwezi nayeye tena lakini hanielewi asee kanigandaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ndo mbaya hiyoTatizo kuchapiwa mkuu jamaa atapasha sana vipolo ujue