Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Tatizo lako uko desperate Sana na Ayo mahusiano, jamaa Yuko bize na shughuli zake.

Binafsi,Niko hivyo pia. Ayo mahusiano ya kupigiana pigiana Simu kila saa siku nzima, yanaboa sana asikwambie mtu.

Ili muenjoy mahusiano,inabd mpeane space.

Jamaa yako Yuko sahii 100%[emoji106]
 
Kwa penzi jipya,
Jamaa yako Yuko sahii sana kufanya hivyo anavyokufanyia,

Hiyo Ni mbinu ya kibaharia ya wanaume tulio wengi kua harsh na disminder siku za mwanzoni kabisa za penzi ili usijione special Sana kua nae Kwny mahusiano.

Uyo jamaa ndo hivyo anataka kukuteka kihisia, ummiss kila mda na, ujiulize maswali yasokua na majibu na ktk hizo purukushani bila kujua unajikuta umempenda Zaid na Zaid.

Real gentlemen,
Mnajua Nini namaanisha[emoji4][emoji109]
 
Kwa penzi jipya,
Jamaa yako Yuko sahii sana kufanya hivyo anavyokufanyia,

Hiyo Ni mbinu ya kibaharia ya wanaume tulio wengi kua harsh na disminder siku za mwanzoni kabisa za penzi ili usijione special Sana kua nae Kwny mahusiano.

Uyo jamaa ndo hivyo anataka kukuteka kihisia, ummiss kila mda na, ujiulize maswali yasokua na majibu na ktk hizo purukushani bila kujua unajikuta umempenda Zaid na Zaid.

Real gentlemen,
Mnajua Nini namaanisha[emoji4][emoji109]
Ananiumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!!

Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Kama ulishamvulia pichu na akakologa dudu yake kwa kipenyo chako,itakuwa sasa anarelax kidogo kama ulivyokuwa ukimsumbua hapo kabla,ila usikate tamaa na pia usiombe pesa kwake ,lazima atahitaji uwepo wako kwake,akishinikizwa na nguvu ya kikojolea na kutiwa moyo na ww kutokumuomba pesa.
 
Huyo jamaa hayupo interest nawewe, alikutongoza ila baada ya kumkubalia kaona kuna mambo hayamvutii,anatamani ukate tamaa muachane, call zako na sms zako zinamkera, hakupendi.

Ushauri wangu:
Futa namba, futa sms zote, details zote kutoka kwake safisha,piga magoti umuombe Mungu msamaha kwa kudumbukiza moyo wako kwenye chaka la miiba, kisha muombe Mungu akupe ujasiri kwenye mwanzo mpya.Achana na huyo jamaa.

Nakuambia hivi kwakua tunajijua wanaume, mwanaume akipenda mwanamke hawi hivo Dadaake, hapo unapoteza mda,sjui ushampa au bado, ukimpa ndo kabisaa, ukinasa mimba ndo umekwisha kabisa, acha kujitesa mrembo.
 
Ananiumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!! Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mwambie ukweli jinsi unavyojisikia.
 
Natamani nikushaur lakin kwanza ningependa kujua sahv upo katika hali gani ... ili usiumie zaidi
 
Back
Top Bottom