Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.

Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.

Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.

Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Kuna haja ya kukaa chini na kuongea kwa uwazi...

Kuna watu wanafanya kazi kwenye mitambo mfano ambayo inawafanya wasiruhusiwe kuwa na simu sehemu kubwa ya muda wao wa mchana hivyo kwa maelezo yako mafupi ni ngumu kukushauri vema...

Fahamu nature ya kazi yake, muda ambao anakuwa huru kuongea na mfano wa hayo vinginevyo huwezi kusema kwa uhakika ni kweli ubusy wa kazi au uongo...

Kuna kazi watu hawaruhusiwi kutumia simu kuziacha sehemu maalum mpaka wakitoka kazini....
Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.

Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.

Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.

Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
 
Njoo hapa haraka Sana Ila uwe na sifa hizi

-uwe nakipato halali na halisi
-uwe na nyumba angalau moja na gari yakutembelea
-usiwe mlevi
-uwe tayar kunihudumia na mda wote uwe tayar kuchat nakuzungumza kwa mahaba

emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png
emoji116.png

-ninaishi nawazaz wangu nanimiliki simu moja ya tecno
-nina watoto watatu wa nje
-sina pesa,nyumba Wala gari
emoji120.png
emoji120.png
emoji120.png
emoji1666.png
emoji1666.png
emoji1666.png
emoji1666.png
Msema kweli ni mpenzi wa mungu mambo mengne tutafundishana!

Mjini msingi kiuno au sio...
 
Ananiumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!!

Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Yani nakushauri kama mwanamke mwenzako, hapo hamna wahusiano hiyo ni one side love. Hakuna mtu yuko bize kwa anaempenda. Yuko bize kwako lakn ana muda kwa wengine. Kwan wewe oficn kwake hujawahi enda kwamba ukajionee mazingira kama kweli yanamkeep bize? Ila all in all hauko pekeako
 
Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Binti kuanzisha mahusiano sio rahisi hvo,, huko ndio utakuja ukutane na wanaokula kimasihara.

Ukitaka ujue nini shida yake,,jipe hata siku mbili usimpigie then usome mchezo,, ukiona amepiga kimya basi beba kilicho chako na upotee,,hapo sio sehemu sahihi...

Kwa upande wa ndugu yetu,,Mwanaume mwenzetu,, Popote pale alipo nimpe pongezi kwasababu hadi sasa bado ameshika usukani...sometimes (mara nyingi sana) kinadada mkioneshwa hayo unayotaka wewe kuonyeshwa huwa Penzi halidumu,,na baadae utaanza kumuona jamaa miyeyusho,... DeepPond ameeleza ukweli sana na waliombishia ndio wengi utawakuta wana nyuzi za kulialia humu...

Jipe muda,, endelea kumpenda mshikaji,, na mkienda hvo hlo penzi halitachuja tofauti na yeye angekuwa anakupigia simu hvo kila wakati...
 
Huenda hana mpango na wewe cha kufanya endelea na mambo yako kama anakupenda atakutafuta na siyo mambo ya kumtafuta wewe kila siku, kila lakheri.
 
Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.

Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.

Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.

Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Polee sanaa uyo atakuwa mnyanturu[emoji1787][emoji1787] [emoji1787]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Natumiaga excuse ya ubusy pia ninapokua siko interested na mtu.
Hivi kweli masaa 24 yote unakua busy, unafanya research za kutibu cancer au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu binti anapotezewa muda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mapenzi bhana[emoji16]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom