Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.
Hizo mambo za kua eti sim mda wote sjui nini na nini hujapenda.
Hembu msome dada umuelewe.
-usiku mda alosema ndo apigiwe na dada yetu, jamaa anaongea kidogo anaaga.
-lakini mara nyingi dada anakuta sim yake iko busy jamaa anaongea na sim nyingine.
-tena kuna mda anamwambia nakupigia nakupigia ndo imetoka hiyo.
-sms mchizi hataki kujibu.
Kwa mwanaume aliependa anamwita mchumba na kumuelekeza mazingira ya kazi vizuri, lakini pia akiwa free mdada ataona bashasha za jamaa kwa mapenzi ya kweli yalomjaa, lazima awe na ham ya kuongea nae.
Mapenzi hayafichiki jamani.
Sina nia ya kumuumiza bibie, ila mimi nataka apone, atoe hilo jino bovu ambalo kila mda anajigonga linamuumiza, bora abaki na pengo awe huru, kama jino litaota jipya mbele ya safar.
Sent from my itel P32 using
JamiiForums mobile app