Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Don’t make him to feel that he got you very soon!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwanza,
Mtoa mada wee Ni jinsia gani[emoji848]
Fanya hivyo ya nini kukaa sehemu mwanaume hakuthaminiAnaniumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!! Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.
Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.
Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.
Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.

Kwa penzi jipya,
Jamaa yako Yuko sahii sana kufanya hivyo anavyokufanyia,
Hiyo Ni mbinu ya kibaharia ya wanaume tulio wengi kua harsh na disminder siku za mwanzoni kabisa za penzi ili usijione special Sana kua nae Kwny mahusiano.
Uyo jamaa ndo hivyo anataka kukuteka kihisia, ummiss kila mda na, ujiulize maswali yasokua na majibu na ktk hizo purukushani bila kujua unajikuta umempenda Zaid na Zaid.
Real gentlemen,
Mnajua Nini namaanisha[emoji4][emoji109]
me naborekaga hupesi. naona kama utoto. Uache shughuli mnakaa zaidi ya nusu saa mnavyoviongea vyenyewe unakuta havina msingi.Tatizo lako uko desperate Sana na Ayo mahusiano, jamaa Yuko bize na shugjuli zake.
Binafsi,Niko hivyo pia.
Ayo mahusiano ya kupigiana pigiana Simu kila saa siku nzima, yanaboa sana asikwambie mtu.
Ili muenjoy mahusiano,inabd mpeane space.
Jamaa yako Yuko sahii 100%[emoji106]
Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.
Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.
Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.
Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Hii ngoma iko vice versa,Kumbe?!
Lakini naona mnakosea kama ni hivyo!
Actually hicho unachokisema ni kweli kinafanyika kwenu miongoni mwa mnaojiita
Maharia lakini nimwambie kitu mnaharibu hamjengi!
Yani labda kama mwanamke huja mpenda kwa dhati sawa lakini kwa unayempenda kwa dhati haifai kufanya hivyo.
Hata asipokwambia lakini unamfanya kuzani huenda umeghairi kumpenda na kujitoa kwenye penzi mazima!
Yani laiti mngejua kuchechea huba pale ambapo mwanamke yuko high mngeweza kufurahia sana penzi kwa pamoja msingafanya hayo.
Sikatai ni kweli kabisa Mwanaume inabidi apewe nafasi ya kufanya mambo yake mengine hii ni kanuni kabisa ambapo wanawake wanapaswa kuijua lakini isizidi.
Lakini Mwanamke yuko high Mwanaume unapoaaaa, ukija kujifanya unaanza kuwa mwanamke anakuwa ameshapoa sasa hapo kunakuwa na raha gani?!
Kabisa,me naborekaga hupesi. naona kama utoto. Uache shughuli mnakaa zaidi ya nusu saa mnavyoviongea vyenyewe unakuta havina msingi.
Anafanya kazi gani?Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.
Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.
Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.
Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Yamekaa kitoto Toto Sana[emoji4]Hivi haya mapenzi ya simu kila mda bado yapo kumbe
Yani yanakataga stimu sanaYamekaa kitoto Toto Sana[emoji4]
Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.Usitujumlishe wote mkuu, mimi naweza mpenda manzi tena sana ila hayo mambo ya kugandana na kuchat kila muda sina nafanya kama jamaa yake huyo, pia kuna wengine sio kwamba wako busy ila wanapenda kuwa peke yao muda mwingi kuliko kua na wapenzi wao yani wakiwa peke yao wana enjoy zaidi kuliko kugandana
Hakukupenda, alikutania tu, ukajipeleka mputamputa. Pole.Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.
Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.
Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.
Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]Kwanza,
Mtoa mada wee Ni jinsia gani[emoji848]
Mmh, aha okay!Tatizo lako uko desperate Sana na Ayo mahusiano, jamaa Yuko bize na shughuli zake.
Binafsi,Niko hivyo pia.
Ayo mahusiano ya kupigiana pigiana Simu kila saa siku nzima, yanaboa sana asikwambie mtu.
Ili muenjoy mahusiano,inabd mpeane space.
Jamaa yako Yuko sahii 100%[emoji106]
[emoji134][emoji134]mmh Mungu nisaidie sijui km nitaweza hiiKwa penzi jipya,