Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi banaa!Huyo jamaa hayupo interest nawewe, alikutongoza ila baada ya kumkubalia kaona kuna mambo hayamvutii,anatamani ukate tamaa muachane, call zako na sms zako zinamkera, hakupendi.
Ushauri wangu:
Futa namba, futa sms zote, details zote kutoka kwake safisha,piga magoti umuombe Mungu msamaha kwa kudumbukiza moyo wako kwenye chaka la miiba, kisha muombe Mungu akupe ujasiri kwenye mwanzo mpya.Achana na huyo jamaa.
Nakuambia hivi kwakua tunajijua wanaume, mwanaume akipenda mwanamke hawi hivo Dadaake, hapo unapoteza mda,sjui ushampa au bado, ukimpa ndo kabisaa, ukinasa mimba ndo umekwisha kabisa, acha kujitesa mrembo.
Wanawake mna tafsiri mbovu Sana ya neno KUPENDA (love).Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.
Hizo mambo za kua eti sim mda wote sjui nini na nini hujapenda.
Hembu msome dada umuelewe.
-usiku mda alosema ndo apigiwe na dada yetu, jamaa anaongea kidogo anaaga.
-lakini mara nyingi dada anakuta sim yake iko busy jamaa anaongea na sim nyingine.
-tena kuna mda anamwambia nakupigia nakupigia ndo imetoka hiyo.
-sms mchizi hataki kujibu.
Kwa mwanaume aliependa anamwita mchumba na kumuelekeza mazingira ya kazi vizuri, lakini pia akiwa free mdada ataona bashasha za jamaa kwa mapenzi ya kweli yalomjaa, lazima awe na ham ya kuongea nae.
Mapenzi hayafichiki jamani.
Sina nia ya kumuumiza bibie, ila mimi nataka apone, atoe hilo jino bovu ambalo kila mda anajigonga linamuumiza, bora abaki na pengo awe huru, kama jino litaota jipya mbele ya safar.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Alpha male ( Bad boy )Kwa penzi jipya,
Jamaa yako Yuko sahii sana kufanya hivyo anavyokufanyia,
Hiyo Ni mbinu ya kibaharia ya wanaume tulio wengi kua harsh na disminder siku za mwanzoni kabisa za penzi ili usijione special Sana kua nae Kwny mahusiano.
Uyo jamaa ndo hivyo anataka kukuteka kihisia, ummiss kila mda na, ujiulize maswali yasokua na majibu na ktk hizo purukushani bila kujua unajikuta umempenda Zaid na Zaid.
Real gentlemen,
Mnajua Nini namaanisha[emoji4][emoji109]
[emoji87][emoji134][emoji848]Kabisa,
Ni story za nakupenda sana, nambie umekula Nini, apo unafanya Nini, mbona ujibu sms.
Yaani Ni NON-SENSE tupu,
Vitu ambavyo vingeweza ongeleka hata baada ya MDA wa kazi.
Huu ni ukweli kabisaa!Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.
Hizo mambo za kua eti sim mda wote sjui nini na nini hujapenda.
Hembu msome dada umuelewe.
-usiku mda alosema ndo apigiwe na dada yetu, jamaa anaongea kidogo anaaga.
-lakini mara nyingi dada anakuta sim yake iko busy jamaa anaongea na sim nyingine.
-tena kuna mda anamwambia nakupigia nakupigia ndo imetoka hiyo.
-sms mchizi hataki kujibu.
Kwa mwanaume aliependa anamwita mchumba na kumuelekeza mazingira ya kazi vizuri, lakini pia akiwa free mdada ataona bashasha za jamaa kwa mapenzi ya kweli yalomjaa, lazima awe na ham ya kuongea nae.
Mapenzi hayafichiki jamani.
Sina nia ya kumuumiza bibie, ila mimi nataka apone, atoe hilo jino bovu ambalo kila mda anajigonga linamuumiza, bora abaki na pengo awe huru, kama jino litaota jipya mbele ya safar.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi ni me, ila najua unacho jaribu kumaanisha hapo, ila ukweli ndo huo,utakuta kuna sehem huyo jamaa, anapiga sim kila saa,anachat mpaka basi, ila kwa dada yetu ndo anajifanya kua mzito, mkuu njia kuu lazima mwanaume awe makini nayo hatakama ana mchepuko, ahsante.Wanawake mna tafsiri mbovu Sana ya neno KUPENDA (love).
Mfano Kama Wewe apo,
Umeshindwa kabisa kutofautisha neno Kupenda (love)na neno MAHABA (romance)
Naweza
Kua nakupenda sana, ila nisiwe na mahaba na Wewe.
Ila naweza pia,
Kua na mahaba Sana Wewe, ila nisikupende.
Usichanganye vitu viwili hivi mkuu, utapata shida kutuelewa[emoji4]
Yaani Wewe nadhani una tabia ya kupinga kila kitu hebu ukiachana na Uwanaume wako ambao unaona ukimuunga mtoa mada kwamba alipo si sahihi isome tena mada uelewe vizuri then uje kuchangiaWanawake mna tafsiri mbovu Sana ya neno KUPENDA (love).
Mfano Kama Wewe apo,
Umeshindwa kabisa kutofautisha neno Kupenda (love)na neno MAHABA (romance)
Naweza
Kua nakupenda sana, ila nisiwe na mahaba na Wewe.
Ila naweza pia,
Kua na mahaba Sana Wewe, ila nisikupende.
Usichanganye vitu viwili hivi mkuu, utapata shida kutuelewa[emoji4]
Fact 💯Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.
Hizo mambo za kua eti sim mda wote sjui nini na nini hujapenda.
Hembu msome dada umuelewe.
-usiku mda alosema ndo apigiwe na dada yetu, jamaa anaongea kidogo anaaga.
-lakini mara nyingi dada anakuta sim yake iko busy jamaa anaongea na sim nyingine.
-tena kuna mda anamwambia nakupigia nakupigia ndo imetoka hiyo.
-sms mchizi hataki kujibu.
Kwa mwanaume aliependa anamwita mchumba na kumuelekeza mazingira ya kazi vizuri, lakini pia akiwa free mdada ataona bashasha za jamaa kwa mapenzi ya kweli yalomjaa, lazima awe na ham ya kuongea nae.
Mapenzi hayafichiki jamani.
Sina nia ya kumuumiza bibie, ila mimi nataka apone, atoe hilo jino bovu ambalo kila mda anajigonga linamuumiza, bora abaki na pengo awe huru, kama jino litaota jipya mbele ya safar.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Aisee..kumbe unaweza pendwa na kusiwe na mahabaWanawake mna tafsiri mbovu Sana ya neno KUPENDA (love).
Mfano Kama Wewe apo,
Umeshindwa kabisa kutofautisha neno Kupenda (love)na neno MAHABA (romance)
Naweza
Kua nakupenda sana, ila nisiwe na mahaba na Wewe.
Ila naweza pia,
Kua na mahaba Sana Wewe, ila nisikupende.
Usichanganye vitu viwili hivi mkuu, utapata shida kutuelewa[emoji4]
Wanaume wengi tuanaamini hivyo,
Ila sio kila saa siku nzima,Kitu kinacho waunganisha wapendanao ni mawasiliano na anayekupenda kwa dhati hachoki kuwasiliana nawe tena na tena.
Njoo hapa haraka Sana Ila uwe na sifa hiziAnaniumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!! Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Ndo uhalisia huo dada angu,
Aaaah hii hatari ndugu we endelea kupendana na Mungu tu humpati hy 😂😂😂Njoo hapa haraka Sana Ila uwe na sifa hizi
-uwe nakipato halali na halisi
-uwe na nyumba angalau moja na gari yakutembelea
-usiwe mlevi
-uwe tayar kunihudumia na mda wote uwe tayar kuchat nakuzungumza kwa mahaba
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
-ninaishi nawazaz wangu nanimiliki simu moja ya tecno
-nina watoto watatu wa nje
-sina pesa,nyumba Wala gari
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Msema kweli ni mpenzi wa mungu mambo mengne tutafundishana!