DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Huo ndo uhalisi dada angu,Aisee..kumbe unaweza pendwa na kusiwe na mahaba
Na kuna mahaba ila si kupendwa[emoji848]
Wanaume nyiee
Na wanawake wengi hupoteza wanaume wanaowapenda kwa dhati kwa kuyapa kipaumbele mahaba badala ya mapenzi.
Wanaume wengi waongo waongo huwa Ni wazuri sana kwny mahaba kuliko mapenzi.
Maana wanajua Nini wanawake wanataka kwa wakati upi,
yaan saikolojia ya mwanamke husika inakua kiganjani mwake anakuaga kama anaswipe TU menu yake kucheza na akili yake.
Hebu Chunguza vizur Yna2,
Ndo maana wanaume wengi wenye mahaba ya kweli, yaani Yale mahaba niue ya moyoni.
Hupoteza wapenzi wengi wanaowapenda Sana kwasababu ya kupungukiwa kitu kinaitwa mahaba.